TANZANIA NA FINLAND ZAKUBALIANA KUSHIRIKIANA KATIKA KUONGEZA IDADI YA WATALII NCHINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-9yXkGfEiESg/XlPuEbt0W4I/AAAAAAALfIk/KpBpr3UwngIL1O5o8Kd3OsQg8VSiEH30ACLcBGAsYHQ/s72-c/2c2e9181-5a10-4564-90cc-cd9fd7f7fc01.jpg)
Charles James, Michuzi TV
SERIKALI za Tanzania na Finland zimekubaliana kushirikiana katika kukuza sekta ya utalii nchini pamoja na sekta zingine za kimaendeleo lengo likiwa ni kuinua uchumi wa Nchi.
Makubaliano hayo yamefanyika leo jijini Dodoma wakati wa kikao cha pamoja kati ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Prof Adolf Mkenda na Waziri wa Maendeleo na Ushirikiano wa Biashara, Ville Skinnari.
Akizungumza baada ya mazungumzo hayo ambayo pia yalihudhuriwa na Balozi wa Finland...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi26 Dec
Serikali kuongeza idadi ya watalii nchini
10 years ago
Habarileo31 Aug
Wajipanga kuongeza idadi ya watalii kufikia milioni 3.3
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maimuna Tarishi amesema Serikali imejipanga kuongeza idadi ya watalii wanaoingia nchini kufikia milioni 3.3 baada ya miaka mitatu .
9 years ago
MichuziUNESCO KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA IDARA YA MAMBO YA KALE KATIKA KUBORESHA HIFADHI NA KUVUTIA WATALII NCHINI
10 years ago
MichuziFINLAND NA TANZANIA KUSHIRIKIANA KIBIASHARA
10 years ago
Tanzania Daima17 Oct
Tanzania, Finland kushirikiana mageuzi ya usimamizi wa fedha
SERIKALI kupitia Wizara ya Fedha imesaini mkataba wa ushirikiano wa mageuzi ya usimamizi wa fedha na nchi ya Finland wenye thamani ya sh bilioni 10. Akizungumza wakati wa kusaini mkataba...
10 years ago
Dewji Blog14 Apr
Kampuni ya Coral Paints katika jitihada za kuongeza ujuzi kwa wapiga rangi nchini Tanzania
Ili kuwa mpiga rangi mzuri na mpambaji , lazima mtu awe mbunifu na mwenye ujuzi unaostahili vilevile awe na uwezo wa kuelewa na kufuzu ujuzi wote unaohitajika katika kudumisha kiwango cha hali ya juu katika sekta ya upakaji rangi na mapambo . Kwa kiwango cha kitaifa sekta ya upakaji rangi imepata kuungwa mkono ili kuongeza ujuzi kwa maelfu ya wafanyabiashara nchini. Ukosefu wa maarifa na ujuzi muhimu kwa watu wanaopaka rangi umekuwa ukisababisha msuguano kati ya wamiliki wa nyumba ,...
11 years ago
Habarileo31 Jan
TSN, taasisi za habari zakubaliana kushirikiana
TAASISI zilizo chini ya habari, vijana, utamaduni na michezo zimeingia makubaliano ya kushirikiana katika mambo mbalimbali ya kimaendeleo. Makubaliano ya taasisi hizo, ikiwemo Kampuni ya uchapishaji wa magazeti ya Serikali ya Tanzania Standard (Newspapers) Limited (TSN) yalifikiwa jana katika mkutano uliokutanisha wizara na taasisi hizo.
10 years ago
MichuziZIARA YA VIONGOZI WA TANZANIA NCHINI FINLAND
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Mabinti waliobeba Bendera ya Tanzania nchini Finland
KIKOSI cha FC Vito Malaika cha Ruangwa mkoani Lindi, kilichokuwa jijini Dar es Salaam tangu Mei 28, juzi Jumamosi Mei 31 kilikwea pipa kwenda jijini Helsinki, Finland, kushiriki michuano ya...