Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMBACHAWENE AKAGUA MIUNDOMBINU YA KUHIFADHI MAFUTA TANGA


 Waziri wa Nishati na Madini George Simbachawene (wa pili kushoto) akikagua miundombinu ya kuhifadhi mafuta katika Bohari ya Kampuni ya GBP ya Tanga.  Nyuma ya Waziri ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Said Magalula. Wengine kutoka kulia ni Meneja Mkuu wa PICL, Michael Mjinja, Kamishna wa Nishati na Maendeleo ya Petroli Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi, Hosea Mbise na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya GBP ya Tanga, Badar Masoud. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa GBP, Bohari hiyo ina uwezo wa kuhifadhi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BOHARI YA KUHIFADHI MAFUTA YA GBP MKOANI TANGA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Kituo cha kupokelea mafuta cha Kampuni ya GBP, wakati alipokuwa katika ziara yake ya kutembelea Jeti ya kupokelea mafuta na Bohari ya kuhifadhia mafuta ya kampuni hiyo, wakati alipokuwa katika ziara yake ya siku moja mkoani Tanga jana Juni 5, 2015.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiondoka katika eneo hilo baada ya kukagua...

 

5 years ago

Michuzi

EWURA yapewa siku 10 kupitia bei za mafuta katika maghala ya kuhifadhi na kupokea mafuta.



Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani (wa pili kulia)akipita kukagua mazingira ya ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP, alipofanya ziara katika eneo hilo mkoani Tanga, Mei 10, 2020.

Shehena ya Mafuta ikiwa imepakiwa katika matangi tayari kwa kusafirishwa,hapa ni katika ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP mkoani Tanga, Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani, alifanya ziara katika eneo hilo, Mei 10,2020.

Baadhi ya mapipa makubwa ya kuhifadhia mafuta...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS WA ZANZIBAR AKAGUA KARO LA KUHIFADHI UCHAFU

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akifanya ziara ya kukagua maandalizi ya kazi za usafishaji wa karo zinazohudumia uhifadhi ya Uchafu katika Nyumba za Maendeleo zilizopo Mtaa wa Mtemani Mjini Wete Kisiwani Pemba. Kushoto ya Balozi Seif ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mh. Mar Khamis Othman.  Mkurugenzi wa Baraza la Mji wa Wete Kisiwani Pemba Ndugu Mgeni Othman Juma akitoa maelezo mbele ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif juu ya hatua zilizochukuliwa katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Tiper kutumia Sh19 bil. kuhifadhi mafuta

>Kampuni ya Tanzania International Petroleum Reserves Limited (Tiper), inatarajia kuongeza uwezo wake wa kuhifadhi mafuta mara mbili zaidi, baada ya kukamilika kwa ukarabati wa matangi yake mawili yenye mita za ujazo 36,600 kila moja ifikapo Machi, mwaka huu.

 

5 years ago

Michuzi

ZUNGU AKAGUA BWAWA LA KUHIFADHI TOPE SUMU (TFS) MGODI WA BARRRICK NORTH MARA


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu hii leo amekagua bwawa la kuhifadhia tope sumu katika Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara.
Waziri Zungu ameambatana na Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Mabula, Mwenyekiti wa Bodi ya NEMC Prof. Esinati Chaggu pamoja na watendaji wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC). Wakati wa ukaguzi huo Waziri Zungu amewashauri...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Zungu akagua bwawa la kuhifadhi tope sumu (TFS) Mgodi wa Barrick North Mara


 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu hii leo amekagua bwawa la kuhifadhia tope sumu katika Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara.

Waziri Zungu ameambatana na Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Mabula, Mwenyekiti wa Bodi ya NEMC Prof. Esinati Chaggu pamoja na watendaji wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC). Wakati wa ukaguzi huo Waziri Zungu amewashauri watendaji...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Makalla akagua miundombinu ya maji jijini Mbeya

Naibu Waziri wa Waji,Mh. Amos Makalla amefanya ziara ya kikazi jijini Mbeya na kufanikiwa kutembelea vyanzo mvali mbali vya maji vilivyo chini ya Mamlaka ya Maji Safi jijini humo.
Mh. Makalla amevutiwa sana na utendaji kazi wa Mamlaka hiyo na kuupongeza kwa kuongeza idadi kuwa wateja wa maji kutoka 9000 mwaka 2002 na kufikia 40,000 hivi sasa na pia kuwa mamlaka ya tatu kitaifa kuwa na miundombinu ya majitaka.
Mh. Makalla ameiagiza Mamlaka hiyo kuhakikisha inadhibiti upotevu wa maji kutoka...

 

10 years ago

Michuzi

TIPER kuongeza uwezo wa kuhifadhi mafuta kufikia mita za ujazo 213,000

 Mafundi wa kampuni ya kuhifadhi mafuta ya Tanzania International Petroleum Reserves Limited (TIPER), wakitengeneza paa katika moja ya matanki mapya ya kampuni hiyo, wakati kampuni hiyo ikitaraji kuongeza uwezo wa kuhifadhi mafuta maradufu baada ya kukamirika kwa ukarabati wa matanki yake wawili ya mita za ujazo 36,600 kila moja ifikapo machi mwaka huu.Miongoni mwa matanki ya kampuni ya ya kuhifadhi mafuta ya Tanzania International Petroleum Reserves Limited (TIPER) yanayofanyiwa ...

 

10 years ago

Michuzi

KUSHUKA KWA MAFUTA KUENDANE NA HALI HALISI YA BIDHAA ZINGINE - SIMBACHAWENE

Na Chalila Kibuda
Waziri wa Nishati na Madini,George Simbachawene amesema kushuka kwa bei ya mafuta kuendane na hali halisi ya vitu vyote vinavyotumia nishati hiyo.
Hayo ameyasema leo jijini Dar es Salaam wakati alipokutana na wadau wa mafuta kupata mawazo katika uendeshaji wa sekta hiyo,Simbachawene amesema kuwa kushuka kwa mafuta hata nauli ya kusafiri kwa daladala pamoja na mabasi ya mikoani na nje ya nchi ni lazima zishuke.
Simbachawene amesema watanzania wanataka kuona kushuka kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani