Bandari Mtwara watakiwa kuimarisha ulinzi
NAIBU Waziri wa Uchukuzi, Dk. Cherles Tizeba, ameitaka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), mkoani Mtwara, kusimamia kwa umakini uimarishaji ulinzi kwenye bandari hiyo. Agizo hilo, alilitoa hivi karibuni...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 Feb
JKT wapongezwa kuimarisha ulinzi
10 years ago
Mtanzania03 Apr
Polisi kuimarisha ulinzi Pasaka
Na Grace Shitundu, Dar es Salaam
JESHI la Polisi nchini limetoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini katika ulinzi na usalama wa maisha na mali zao katika kipindi hiki cha Sikukuu ya Pasaka kuanzia leo.
Taarifa iliyotolewa jana na Msemaji wa Jeshi hilo, Advera Bulimba, ilieleza kuwa wakati wa sikukuu baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo kufanya vitendo vya uhalifu.
Alisema kutokana na hali hiyo, Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi katika mikoa yote...
10 years ago
BBCSwahili25 Jun
Uingereza inapanga kuimarisha ulinzi Calais
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
Suma JKT yapongezwa kuimarisha ulinzi Stamigold
SHIRIKA la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (Suma JKT), limepongezwa kwa kuhakikisha ulinzi unaimarika kwenye maeneo ya mgodi wa Stamigold uliopo Biharamulo, mkoani Kagera. Mgodi huo kwa sasa...
9 years ago
MichuziJESHI LA POLISI KUIMARISHA ULINZI SIKU YA KUPIGA KURA
Akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya Jeshi la Polisi leo Mkuu wa Jeshi hilo IGP Ernest Mangu amesema kuwa ulinzi utaimarishwa maeneo yote kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama ili kuhakikisha kuwa taifa linapita...
9 years ago
StarTV18 Sep
Mgombea CHAUMA aahidi kuimarisha ulinzi na usalama wa raia
Kutokana na kukithiri kwa vitendo vya kikatili yakiwemo mauaji ya alibino,mauaji ya vikongwe, ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia chama cha ukombozi wa umma (CHAUMA) kimesema endapo watanzania watakipatia ridhaa ya kuongozi nchi kitahakikisha kinakomesha vitendo vya kikatili kwa makundi hayo kwa kujenga makambi maalumu ili kuimarisha ulinzi na usalama wa raia wake.
Hayo yamesemwa na mgombea urais kupitia chama hicho Hashim Rungwe akiwa katika mkutano wa kampeni wilayani Nzega Mkoani Tabora...
9 years ago
Habarileo13 Oct
Dangote ‘kufumua‘ bandari ya Mtwara
UWEZO wa bandari ya Mtwara unatarajiwa kuongezeka mara dufu kufuatia kufunguliwa rasmi kwa kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni kikubwa kuliko vyote Afrika Mashariki.
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
EPZA, TPA kuendeleza bandari Mtwara
MAMLAKA ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) zimefikia makubaliano ya uendelezaji wa hekta 10 za eneo huru la bandari ya Mtwara. Makubaliano hayo...