Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi kuimarisha ulinzi Pasaka

Advera-BulimbaNa Grace Shitundu, Dar es Salaam

JESHI la Polisi nchini limetoa tahadhari kwa wananchi  kuwa makini katika  ulinzi na usalama wa maisha na mali zao katika kipindi hiki cha Sikukuu ya Pasaka kuanzia leo.

Taarifa iliyotolewa jana na Msemaji wa Jeshi hilo,  Advera Bulimba, ilieleza kuwa wakati wa sikukuu baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo kufanya vitendo vya uhalifu.

Alisema kutokana na hali hiyo, Jeshi la Polisi  kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi katika mikoa yote...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Polisi waimarisha ulinzi sikukuu ya Pasaka

 Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino MlowolaJESHI la Polisi limeimarisha ulinzi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mwanza, ikiwemo katika Ziwa Victoria pamoja na makanisani wakati wa Sikukuu ya Pasaka, na kuhadharisha wananchi kutoa taarifa watakapopata shaka kuhusu watu, au vitendo vinavyoashiria ugaidi.

 

9 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KUIMARISHA ULINZI SIKU YA KUPIGA KURA

  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akionyesha waandishi wa habari leo (hawapo pichani) kitabu cha maadili ya uchaguzi kilichosainiwa na viongozi wa vyama vya siasa waliosimamisha wagombea katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25.

 Akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya Jeshi la Polisi leo Mkuu wa Jeshi hilo IGP Ernest Mangu amesema kuwa ulinzi utaimarishwa maeneo yote kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama ili kuhakikisha kuwa taifa linapita...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOANI DODOMA KUIMARISHA ULINZI KATIKA KIPINDI CHA MKUTANO MKUU WA CCM

  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi ACP David Misime ---JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI    JESHI LA POLISI TANZANIA Nina imani kila mmoja anayo taarifa kuwa wiki hii hapa Dodoma kutakuwa na Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi.  Mkutano huo utajumuisha Viongozi wa Kitaifa na Wajumbe wengi.  Kutokana na unyeti wa mkutano huo mawazo na masikio ya watu wengi wa ndani na nje ya Tanzania watayaelekeza katika Mkoa wetu kutaka...

 

11 years ago

Mwananchi

JKT wapongezwa kuimarisha ulinzi

Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa, SUMA JKT, limepongezwa kwa juhudi zake katika kuhakikisha ulinzi unaimarika katika maeneo ya mgodi wa STAMIGOLD uliopo Biharamulo Kagera.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uingereza inapanga kuimarisha ulinzi Calais

Serikali ya Uingereza inapania kuongeza maafisa wa uslama katika mpaka wake na Ufaransa ilikuzima ndoto za wahamiaji kuingia nchini humo

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bandari Mtwara watakiwa kuimarisha ulinzi

NAIBU Waziri wa Uchukuzi, Dk. Cherles Tizeba, ameitaka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), mkoani Mtwara, kusimamia kwa umakini uimarishaji ulinzi kwenye bandari hiyo. Agizo hilo, alilitoa hivi karibuni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Suma JKT yapongezwa kuimarisha ulinzi Stamigold

SHIRIKA la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (Suma JKT), limepongezwa kwa kuhakikisha ulinzi unaimarika kwenye maeneo ya mgodi wa Stamigold uliopo Biharamulo, mkoani Kagera. Mgodi huo kwa sasa...

 

9 years ago

StarTV

Mgombea CHAUMA aahidi kuimarisha ulinzi na usalama wa raia

Kutokana na kukithiri kwa vitendo vya kikatili yakiwemo  mauaji ya alibino,mauaji ya vikongwe, ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia chama cha ukombozi wa umma (CHAUMA) kimesema endapo watanzania watakipatia ridhaa ya kuongozi nchi kitahakikisha kinakomesha vitendo vya kikatili kwa makundi hayo kwa kujenga makambi maalumu ili kuimarisha ulinzi na usalama wa raia wake.

Hayo yamesemwa na mgombea urais kupitia chama hicho Hashim Rungwe akiwa katika mkutano wa kampeni wilayani Nzega Mkoani Tabora...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani