JKT wapongezwa kuimarisha ulinzi
Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa, SUMA JKT, limepongezwa kwa juhudi zake katika kuhakikisha ulinzi unaimarika katika maeneo ya mgodi wa STAMIGOLD uliopo Biharamulo Kagera.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
Suma JKT yapongezwa kuimarisha ulinzi Stamigold
SHIRIKA la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (Suma JKT), limepongezwa kwa kuhakikisha ulinzi unaimarika kwenye maeneo ya mgodi wa Stamigold uliopo Biharamulo, mkoani Kagera. Mgodi huo kwa sasa...
11 years ago
Habarileo20 Mar
Wawekezaji wapongezwa kuimarisha sekta ya afya
WAWEKEZAJI wamepongezwa kwa kushirikiana na jamii katika kujenga miradi mbalimbali ambayo itasaidia kuleta maendeleo na kuimarisha Sekta ya Afya. Kauli hiyo ilitolewa na Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi alipofungua hospitali ya kisasa ya akinamama wajawazito katika eneo la Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
10 years ago
Mtanzania03 Apr
Polisi kuimarisha ulinzi Pasaka
Na Grace Shitundu, Dar es Salaam
JESHI la Polisi nchini limetoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini katika ulinzi na usalama wa maisha na mali zao katika kipindi hiki cha Sikukuu ya Pasaka kuanzia leo.
Taarifa iliyotolewa jana na Msemaji wa Jeshi hilo, Advera Bulimba, ilieleza kuwa wakati wa sikukuu baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo kufanya vitendo vya uhalifu.
Alisema kutokana na hali hiyo, Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi katika mikoa yote...
10 years ago
BBCSwahili25 Jun
Uingereza inapanga kuimarisha ulinzi Calais
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Bandari Mtwara watakiwa kuimarisha ulinzi
NAIBU Waziri wa Uchukuzi, Dk. Cherles Tizeba, ameitaka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), mkoani Mtwara, kusimamia kwa umakini uimarishaji ulinzi kwenye bandari hiyo. Agizo hilo, alilitoa hivi karibuni...
10 years ago
MichuziJESHI LA POLISI KUIMARISHA ULINZI SIKU YA KUPIGA KURA
Akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya Jeshi la Polisi leo Mkuu wa Jeshi hilo IGP Ernest Mangu amesema kuwa ulinzi utaimarishwa maeneo yote kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama ili kuhakikisha kuwa taifa linapita...
10 years ago
StarTV18 Sep
Mgombea CHAUMA aahidi kuimarisha ulinzi na usalama wa raia
Kutokana na kukithiri kwa vitendo vya kikatili yakiwemo mauaji ya alibino,mauaji ya vikongwe, ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia chama cha ukombozi wa umma (CHAUMA) kimesema endapo watanzania watakipatia ridhaa ya kuongozi nchi kitahakikisha kinakomesha vitendo vya kikatili kwa makundi hayo kwa kujenga makambi maalumu ili kuimarisha ulinzi na usalama wa raia wake.
Hayo yamesemwa na mgombea urais kupitia chama hicho Hashim Rungwe akiwa katika mkutano wa kampeni wilayani Nzega Mkoani Tabora...
11 years ago
Dewji Blog24 Jul
Halmashauri ya manispaa ya Singida yaweka taa kandokanodo ya barabara zake kuimarisha ulinzi
Halmashauri ya manispaa ya Singida, yaweka taa kando kando ya barabara zake katika kuimarisha ulinzi na kupendezesha mji.
Taa hizo ambazo katika awamu ya kwanza zimewekwa kwenye barabara ya Arusha inayoanzia Bomani hadi nyumba za kulala ya Victoria karibu na Mwenge sekondari na ile ya Karume Arusha, zote zikiwa na urefu wa kilometa 2.720.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
Halmashauri ya manispaa ya Singida, imeweka taa kando kando ya barabara zake za mjini Singida zenye...