Mzumbe kujenga uwezo wa wajasiriamali Dar
Na Adam Mkwepu, Dar es Salaam
CHUO Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, kinatarajia kuanza kuwajengea uwezo wajasiriamali wa viwanda vidogo ili kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuiendeleza sekta hiyo na kuwa na mchango mkubwa katika maendeleo.
Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki na Kaimu Makamu wa Chuo hicho, Profesa Josephat Itika, wakati wa mahafali ya 14 ambapo alisema kwa sasa kampasi hiyo inaandaa miradi mbalimbali ya ushauri na kozi fupi kwa kushirikiana na chuo cha...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzimahafali ya 14 ya Mzumbe kampasi ya dar es salaam yafana, chuo chaazimia kujenga uwezo wa wajasiriamali wa viwanda vidogo
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
Wajasiriamali kujengewa uwezo
SERIKALI kupitia Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), itaendelea kutoa mafunzo ya wafanyabiashara wadogo na wakati (SMEs) ili kuboresha uhusiano wao kibiashara na wafanyabishara wakubwa na makampuni. Kauli hiyo ilitolewa na...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
Wajasiriamali nchini kujengewa uwezo
SERIKALI kupitia Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), itaendelea kutoa mafunzo ya wafanyabiashara wadogo na wakati (SMEs) ili kuboresha uhusiano wao kibiashara, wafanyabishara wakubwa na makampuni. Kauli hiyo ilitolewa na Waziri...
11 years ago
MichuziWajasiriamali nchini kujengewa uwezo zaidi-Dr Nagu
9 years ago
Habarileo08 Nov
Bodi ya Maktaba yaja na mradi wa kujenga uwezo
BODI ya Huduma za Maktaba (TLSB) imeanzisha mradi wa maktaba kwa maendeleo wenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 630 ili kuzijengea uwezo kwa kuzifikia kada mbalimbali kwenye jamii.
10 years ago
Dewji Blog26 May
PSPF ya ungana na wanawake wajasiriamali katika hafla ya kuendeleza umoja wa wajasiriamali Dar
Meneja msaidizi wa uchangiaji wa hiari Matilda Nyallu wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) akieleza namna ya mfuko wa Hiari unavyo kuwa na nijinsi gani utafaidika pindi unapo jiunga na kuwa mmoja wa wadau wa (PSPF).
Kushoto Muandaaji wa sherehe ya wanawake wajasiriamali Shamimu Mwasha ambaye ni mdau wa (PSPF) akitoa ufafanuzi wa sherehe hiyo na kuwakaribisha wageni walioweza kuhudhuriapembeni ni mshereheshaji wa sherehe hiyo Jokate Mwegelo.
Afisa wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) kushoto Hadji...
10 years ago
VijimamboPSPF YA UNGANA NA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KATIKA HAFRA YA KUENDELEZA UMOJA WA WAJASIRIAMALI DAR ES SALAAM
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
#UNTZ: UNCDF kuendelea kusaidia kujenga uwezo wa kifedha kuhudumia maendeleo
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu kataka Wizara hiyo Dkt. Deogratius Mtasiwa, akizungumza kwenye mkutano wa watendaji waandamizi wa serikali kutoka katika Ofisi ya WaziriMkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) pamoja na waandishi wa habari kuhusiana na Programu ya Utafutaji Fedha Nchini kwa maendeleo ya wananchi (Global Local Finance Initiative (LFI) ambayo ilianza katika awamu ya...
11 years ago
GPLWARSHA YA KUJENGA UWEZO WA MUZIKI NA SARAKASI KWA WATOTO NA VIJANA YATOLEWA