WARSHA YA KUJENGA UWEZO WA MUZIKI NA SARAKASI KWA WATOTO NA VIJANA YATOLEWA
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Baba Watoto Center kilichopo Mburahati kwa Jongo, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, Bw. Mgunga Mwamnyenyelwa akizungumzia juu ya kituo hicho kinavyofanya kazi na sababu za kuwakusanya watoto hao katika kituo hicho ikiwa ni pamoja na kuwajengea uelewa zaidi na kuwafundisha vitu mbalimbali kama Ngoma, Sarakasi, Ushonaji ili baadae waweze kuja kujitegemea wenyewe.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWARSHA KATIKA HOTEL YA GOLD CREST JIJINI MWANZA KWA AJILI KUHAMASISHA NA KUJENGA UWEZO WA KUJUMUISHA MASUALA YA VIJANA KATIKA MIPANGO YA MAENDELEO YA MKOA NA WILAYA
Warsha hiyo inafanyika katika vituo vya Mwanza na Musoma. Katika kituo cha Mwanza warsha inafanyika tarehe 8 na 9 Juni 2015, kituo ambacho kinajumuisha Sekretarieti ya Mkoa na Halmashauri za mikoa ya Mwanza,...
11 years ago
Dewji Blog03 Jul
Warsha ya muziki wa Samba Regge na Sarakasi kuhitimishwa kesho kwenye Uwanja wa Kasulu, Mburahati kwa Jongo
Mkufunzi wa Ngoma za Samba regge, Manni Spaniol akimwelekeza mmoja wa watoto wanaoshiriki warsha ya fit for life iliyoandaliwa na kituo cha Baba watoto cha Mburahati kwa Jongo, Jijini Dar es Salaam.
Mkufunzi wa ndani, Mwajabu Omari akimwelekeza namna ya kufanya sarakasi mmoja wa watoto wanaoshirika kwenye warsha ya sarakasi na ngomba za samba regge iliyoandaiwa na kituo cha Baba Watoto.
Mafunzo ya Sarakasi.
Wanafunzi na wakufunzi wakifanya mazoezi ya kujiandaa na onyesho la muziki wa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-XsHXXykhehU/VTvkKpvGK4I/AAAAAAAHTRc/wqyWzyvYZHU/s72-c/Pix%2B1.jpg)
Elimu ya uongozi bora yatolewa kwa viongozi wa vikundi vya vijana Kata ya Selela
![](http://3.bp.blogspot.com/-XsHXXykhehU/VTvkKpvGK4I/AAAAAAAHTRc/wqyWzyvYZHU/s1600/Pix%2B1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-YfZZqMYxVJQ/VTvkLF7-GrI/AAAAAAAHTRk/rYlJXiQtagM/s1600/Pix%2B3.jpg)
10 years ago
Dewji Blog25 Feb
Serikali ya Tanzania, UNICEF waendesha warsha kwa vyombo vya habari kuzuia ukatili kwa watoto
![](http://4.bp.blogspot.com/-xPEuoElfRdk/VOyXoRM8lnI/AAAAAAAAAAM/V5WKtv9O_IY/s1600/Julieth%2BSwai%2BMwakilishi%2Bkutoka%2BUNICEF%2B.jpg)
Julieth Swai Mwakilishi kutoka UNICEF akizungumza jambo.
![](http://4.bp.blogspot.com/-qcH0vpNqRwk/VOyXpUMw04I/AAAAAAAAAAY/kWnfRekkBNI/s1600/Baadhi%2Bya%2Bwashiriki%2Bwa%2BWarsha%2Bwakifuatilia%2Bkwa%2Bmakini.jpg)
Baadhi ya washiriki wa Warsha wakifuatilia kwa makini.
![](http://2.bp.blogspot.com/-VkKSK8OvKF8/VOyXpXPGdWI/AAAAAAAAAAU/Tg6G19ReQGs/s1600/Baadhi%2Bya%2Bwashiriki%2Bwakiuliza%2Bmaswali%2Bkatika%2Bwarsha%2Bhiyo.jpg)
Mmoja wa washiriki wakiuliza maswali katika warsha hiyo.
![](http://2.bp.blogspot.com/-3vPO18FRLxk/VOyXp3DzeGI/AAAAAAAAAAg/VUIwrR6zg5w/s1600/Kimela%2BBila%2BMwandaaji%2Bwa%2BKipindi%2Bcha%2BWalinde%2BWatoto%2Bakizungumza%2Bkatika%2BWarsha.jpg)
Kimela Bila Mwandaaji wa Kipindi cha Walinde Watoto akizungumza katika Warsha hiyo.
![](http://1.bp.blogspot.com/-wrxMKS5MiPg/VOyXrBB5pnI/AAAAAAAAAAs/MF_EOQIsxII/s1600/Mathias%2BHaule%2C%2BAfisa%2BMaendeleo%2Bya%2BJamii%2Bmaswala%2Bya%2BUkatili%2Bdhidi%2Bya%2BWatoto%2Bkutoka%2BWizara%2Bya%2BMaendeleo%2Bya%2BJamii%2C%2BJinsia%2Bna%2BWatoto%2Bakielezea%2BSheria%2Bya%2BMtoto.jpg)
Mathias Haule, Afisa Maendeleo ya Jamii maswala ya Ukatili dhidi ya Watoto kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto akielezea Sheria ya Mtoto.
![](http://2.bp.blogspot.com/-6do6HPPS5Lc/VOyXsOj3JkI/AAAAAAAAAA0/OLCDMLwKzk4/s1600/Neema%2BKimaro%2C%2BMratibu%2Bwa%2Bkipindi%2Bcha%2BWalinde%2BWatoto%2Bkutoka%2BTrue%2BVision%2BProduction%2Bakiendelea%2Bna%2Bmaandalizi%2Bya%2Bwarsha.jpg)
Neema Kimaro, Mratibu wa kipindi cha Walinde Watoto kutoka True...
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
10 years ago
Mtanzania24 Feb
Kukamatwa vijana JKT sarakasi tupu
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
JESHI la Polisi nchini na uongozi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), wametofautiana kauli kuhusu aliko Mwenyekiti wa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), George Mgoba (28), anayedaiwa kutoroshwa na polisi hospitalini hapo alikokuwa amelazwa.
Mgoba anadaiwa kutoroshwa na polisi baada ya Muhimbili kumruhusu ambapo hadi sasa hajulikani alipo.
Wakati Muhimbili wakisema mgonjwa huyo aliruhusiwa jana saa sita mchana, Jeshi la Polisi...
10 years ago
MichuziMHE. GODBLESS LEMA AFUNGUA WARSHA YA AFYA YA UZAZI NA UKIMWI KWA VIJANA JIJINI ARUSHA
9 years ago
Dewji Blog10 Sep
Mhe.Eng.Hamad Masauni afungua mafunzo ya vijana wa TUEPO kuwajengea uwezo vijana kujiajiri wenyewe
9 years ago
VijimamboMHE. ENG.HAMAD MASAUNI AFUNGUA MAFUNZO YA VIJANA WA TUEPO KUWAJENGEA UWEZO VIJANA KUJIAJIRI WENYEWE