DKT. BILAL AWAELEZA WASOMI JAPAN UMUHIMU WA VITEGA UCHUMI KWA MAENDELEO YA AFRIKA
![](http://4.bp.blogspot.com/-Aspp9PU-Cw8/U4BgfmpHJUI/AAAAAAAFkuY/0iPL1Li8y28/s72-c/2.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa muhadhara katika Chuo Kikuu cha Taaluma ya Sera 'GRIPS' wakati alipoalikwa kwenye muhadhara huo uliofanyika chuoni hapo Jijini Tokyo Japan, jana Mei 23, 2014.
Baadhi ya wanachuo kutoka mataifa mbalimbali wa Chuo hicho waliohudhuria Muhadhara huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati alipokuwa akitoa muhadhara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog25 May
Makamu wa Rais Dkt. Bilal awaeleza wasomi Japan umuhimu wa vitega uchumi kwa maendeleo ya Afrika
Na Mwandishi Maalum, Tokyo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal amesema nchi zinazoendelea hususan za Kiafrika bado zinahitaji uwekezaji zaidi vitega uchumi kutoka nje (FDIs) ili kupata...
11 years ago
Dewji Blog23 May
Dkt. Bilal akutana na kuzungumza na Watanzania waishio nchini Japan, awaasa kurejea nyumbani kutumia ujuzi walioupata kukuza uchumi wa nchi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na watanzania waishio nchini Japan, wakati alipokutana nao kwa mazungumzo yaliyofanyika kwenye Hoteli ya The New Otani, wakati akiwa katika ziara yake ya kikazi nchini humo, jana Mei 21, 2014. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Japan, Salome Sijaona. (Picha na OMR).
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Japan (Tanzanite Society) David Semiono, akisoma risala ya Jumuiya yao wakati wa hafla...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3VBFmmSqIbU/VDr2r_pvjVI/AAAAAAAGpoU/kazx_JHtPiw/s72-c/unnamed%2B(18).jpg)
BENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 (SHILINGI BILIONI 20.1) KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ZWGUDGnHqGc/U3WbXAewOKI/AAAAAAAFiFM/z6HqjXiW74I/s72-c/Makamu+wa+Rais,+posters.001.jpg)
10 years ago
VijimamboBENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 SAWA NA FEDHA ZA KITANZANIA SHILINGI BILIONI 20.1 KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-InulJL1-gaw/U3onHVhHPCI/AAAAAAAFjq8/RTcbRT_DDwk/s72-c/001.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AANZA ZIARA YA KIKAZI NCHINI JAPAN
![](http://4.bp.blogspot.com/-InulJL1-gaw/U3onHVhHPCI/AAAAAAAFjq8/RTcbRT_DDwk/s1600/001.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-oC2Sa2O_Egk/U3onHDNNLBI/AAAAAAAFjq4/9IKiWI6fE_Y/s1600/01.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-v5kiagyl2xE/U34Q7u-v8rI/AAAAAAAFkho/56cKDK8HiP4/s72-c/01.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI JAPAN
![](http://1.bp.blogspot.com/-v5kiagyl2xE/U34Q7u-v8rI/AAAAAAAFkho/56cKDK8HiP4/s1600/01.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-5F3sxXLV0nU/U34Q9oN61II/AAAAAAAFkhs/kOWh8da-Ilk/s1600/1.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima04 May
‘Watoto wasigeuzwe vitega uchumi’
WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, imewataka wazazi kuacha tabia ya kuwageuza watoto walio chini ya umri wa miaka 18 kuwa vitega uchumi vyao. Kauli hiyo ilitolewa jijini...
10 years ago
Dewji Blog10 Jun
Dkt. Bilal amuwakilisha Rais Kikwete katika mkutano wa Utengamano wa Biashara kwa kanda za utatu za Afrika
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza katika Mkutano mkuu wa tatu wa Mkutano Mkuu wa tatu wa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Soko la pamoja la nchi za Kusini mwa Afrika (COMESA) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika leo Juni 10, 2015 kwenye ukumbi wa Kimataifa wa mikutano wa Jolie Vile, Sharma El Sheikh. Agenda ya mkutano huo ni kupokea taarifa ya majadiliano ya kuanzisha eneo huru la Biashara la Utatu...