Maige aitaka serikali kumdai ABG
MBUNGE wa Msalala, Ezekiel Maige (CCM), ameitaka serikali kuzungumza na mwekezaji wa Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu ili ilipe Halmashauri ya Wilaya ya Kahama deni la dola milioni nane za...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Maige: Idadi ya Serikali si tatizo la Muungano
11 years ago
Mwananchi23 Apr
Maige adai kuwa na Serikali tatu nchi itaingia maajabu ya dunia
11 years ago
Habarileo15 Dec
Malkia wa Uholanzi aitaka Serikali kusaidia wakulima
MALKIA Maxima wa Uholanzi, ameitaka Serikali kuelekeza juhudi zaidi katika kusaidia wakulima na kuwatafutia masoko ya mazao wanayozalisha ili waweze kuinua hali zao za maisha.
10 years ago
StarTV12 Jan
Mama Salma aitaka serikali kuongeza uwekezaji.
Na Lilian Mtono,
Dar es Salaam.
Mke wa Rais, mama Salma Kikwete amesema bado serikali inatakiwa kuangalia uwezekano wa kuongeza uwekezaji kwenye eneo la uzazi salama na afya ya mtoto, ikiwa ni sehemu ya kuboresha maisha ya makundi hayo ambayo huwa katika hatari kubwa ya vifo iwapo hawatapata huduma bora ya afya kwa wakati.
Alisema, pamoja na huduma za uzazi, elimu kwa watoto wa kike kuhusiana na uzazi nayo inaweza kuchangia mabadiliko, na kupunguza idadi ya vifo vya uzazi.
Mama Salma...
11 years ago
CloudsFM19 Jun
SUGU AITAKA SERIKALI KUWASAIDIA WAFANYABIASHARA WADOGOWADOGO
Kinachoendelea bungeni mjini Dodoma, baada ya bajeti kusomwa wiki iliy opita, sasa hivi ni wakati wa wabunge kuchangia mawazo na mitazamo yao kwenye bajeti hii ya mwaka wa fedha 2014/2015,, mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu, hivi karibuni aliishauri serikali kuwasaidia wafanyabiashara wadogo wadogo ili kuweza kunyanyua uchumi wao na taifa kwa ujumla.
10 years ago
Habarileo12 Jun
Makinda aitaka Serikali kutekeleza bajeti 2015/16
SPIKA Anne Makinda ameitaka Serikali kuhakikisha bajeti ya mwaka 2015/16 inatekelezwa ipasavyo. Makinda alitoa kauli hiyo bungeni mjini hapa jana wakati alipokuwa akiahirisha Bunge muda mfupi baada ya Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum, kumaliza kusoma bajeti ya Serikali ya mwaka 2015/16.
10 years ago
Mtanzania05 Jun
Keissy aitaka Serikali kulipa riba kwa wakulima
Na Debora Sanja, Dodoma
MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, Ali Keissy (CCM), ameitaka Serikali kuwalipa wakulima fedha zao pamoja na riba kutokana na kuwacheleweshea malipo yao kwa muda mrefu.
Akiuliza swali bungeni jana, Keissy alisema Serikali imekuwa ikilipa riba mbalimbali kutokana na kuchelewa kulipa madeni ya wazabuni na kutaka wakulima walioiuzia Serikali mahindi yao walipwe riba.
“Serikali inasema nini kuhusu kuwalipa wakulima hao fedha zao pamoja na riba kwa kuwa toka mwaka jana hadi sasa...
10 years ago
Mtanzania29 Apr
Mbatia aitaka Serikali itoe tamko anguko la shilingi
Patricia Kimelemeta na Shabani Matutu
WAZIRI kivuli wa Fedha, James Mbatia ameitaka Serikali na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kutoa tamko kutokana na kuporomoka kwa thamani ya shilingi hali ambayo inahatarisha uchumi wa taifa.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mbatia alisema kama Serikali itashindwa kufanya hivyo, atawasilisha taarifa kwenye kikao kijacho cha Bunge mjini Dodoma kinachotarajiwa kuanza Mei 12 ili wabunge wajadili suala hili.
Alisema mzunguko wa fedha za...
10 years ago
Vijimambo19 Mar
Mbunge aitaka serikali iongeze kasi kuwasaka wauaji wa albino.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Al-19March2015.jpg)
Alitoa ahadi hiyo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kazi za Jamii iliyofanyika katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Profesa Hubert Hairuki (HKMU) jijini Dar es Salaam jana.
Alisema ipo haja ya kuweka sheria kali hata ikibidi wauaji wa...