Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbatia aitaka Serikali itoe tamko anguko la shilingi

mbatiaPatricia Kimelemeta na Shabani Matutu

WAZIRI kivuli wa Fedha, James Mbatia ameitaka Serikali na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kutoa tamko kutokana na kuporomoka kwa thamani ya shilingi hali ambayo inahatarisha uchumi wa taifa.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mbatia alisema kama Serikali itashindwa kufanya hivyo, atawasilisha taarifa kwenye kikao kijacho cha Bunge mjini Dodoma kinachotarajiwa kuanza Mei 12 ili wabunge wajadili suala hili.
Alisema mzunguko wa fedha za...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali itoe tamko mbegu za vinasaba — Wadau

WADAU wa sekta binafsi za kilimo nchini wameitaka serikali kutoa tamko pamoja na  takwimu za awali kutokana na uchunguzi unaofanywa juu ya matumizi ya mbegu zilizochanganywa vinasaba. Wadau hao walibainisha...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali itoe tamko michango ya darasa la kwanza

>Kwa muda mrefu sasa wananchi wamekuwa wakilalamikia michango wanayotozwa wazazi/walezi pale wanapokwenda kuwaandikisha watoto wao darasa la kwanza kila ifikapo mwanzoni mwa mwaka.

 

9 years ago

StarTV

Lowassa aitaka NEC itoe ufafanuzi wa malalamiko

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema na Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Edward Lowassa ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kutoa ufafanuzi juu ya malalamiko yaliyojitokeza, katika uhakiki wa Daftrai la Wapigakura linalodaiwa kutokuwapo kwa baadhi ya majina.

Mgombea huyo amesema, tume hiyo inapaswa kuwa makini katika uendeshaji shughuli zake kwa sababu dunia inawaangalia na kuitaka kurekebisha kasoro hizo mapema.

 

 Akizungumza katika mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘TFDA itoe tamko dawa ya meno inayofaa’

MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) na Shirika la Viwango nchini (TBS) wametakiwa kufanya uchunguzi na kutoa tamko kuhusu dawa za meno zinazofaa. Rai hiyo ilitolewa  jijini Dar es Salaam...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali itoe ufafanuzi ongezeko hili la kodi

Ongezeko la ghafla la kodi ya asilimia 20 kwa bia na vinywaji vikali na baridi ambalo lilitangazwa na Serikali mwezi huu limewaacha watengenezaji wa bidhaa hizo wakiwa katika mfadhaiko mkubwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali itoe ulinzi kwa vipaji na ubunifu vya Watanzani

Yapo mambo ambayo mtu anawajibika kuyafanya mwenyewe, pia yapo ambayo Serikali inapaswa iyafanye kwa watu wake.

 

11 years ago

Mwananchi

Msigwa aibana Serikali itoe majibu ripoti ya ITV London

Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii, Mchungaji Peter Msigwa, ameitaka Serikali kutoa majibu sahihi baada ya gazeti la Daily Mail on Sunday la Uingereza, kuchapisha habari inayoeleza kuwa Tanzania ni kinara wa ujangili, huku Rais Jakaya Kikwete akifumbia macho.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI KIVULI WA FEDHA, JAMES MBATIA AZUNGUMZIA KUPOROMOKA KWA THAMANI YA SHILINGI TANZANIA

 Waziri Kivuli wa Fedha, James Mbatia. Waziri Kivuli wa Fedha, James Mbatia (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Ofisi Ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam leo, kuhusu kuporomoka kwa thamani ya shilingi ya Tanzania. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo.(Imeandaliwa na mtandao wa http://www.habarizajamii.com/)

 

10 years ago

Habarileo

CUF yatetea anguko lake serikali za mitaa

Profesa Ibrahim LipumbaCHAMA cha Wananchi (CUF) kimeelezea sababu za kufanya vibaya katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani