Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI KIVULI WA FEDHA, JAMES MBATIA AZUNGUMZIA KUPOROMOKA KWA THAMANI YA SHILINGI TANZANIA

 Waziri Kivuli wa Fedha, James Mbatia. Waziri Kivuli wa Fedha, James Mbatia (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Ofisi Ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam leo, kuhusu kuporomoka kwa thamani ya shilingi ya Tanzania. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo.(Imeandaliwa na mtandao wa http://www.habarizajamii.com/)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Maelezo ya Gavana Prof Benno Ndulu Kuhusu Kushuka kwa Thamani ya Shilingi ya Tanzania kwa Kamati ya Fedha Uchumi na Biashara

Maelezo ya Gavana Prof Benno Ndulu Kuhusu Kushuka kwa Thamani ya Shilingi ya Tanzania kwa Kamati ya Fedha Uchumi na Biashara View this document on Scribd

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Yaliyojificha kuporomoka kwa shilingi dhidi ya Dola ya Marekani Shilingi inahujumiwa na Mabenki?

Yaliyojificha kuporomoka kwa shilingi dhidi ya Dola ya Marekani

Shilingi inahujumiwa na Mabenki? – Zitto Kabwe[1]

Katika ukurasa wangu wa facebook mnamo tarehe 25 Aprili 2015 niliandika kuhusu sababu za shilingi kuporomoka thamani na majawabu ya namna ya kurejesha thamani halisi ya sarafu yetu. Nilieleza “Shilingi kuporomoka dhidi ya dola na kuvuka 1$/2000TS kunasababishwa na sababu kadhaa 1) Woga wa uchaguzi na hivyo Dola nyingi kutoingia nchini (FDI etc) kusikilizia Serikali ijayo...

 

9 years ago

Vijimambo

JAMES MBATIA AKABIDHI ZAWADI KWA BINGWA WA MASHINDANO YA JIMBO LA VUNJO (MBATIA CUP 2015).

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akiwasili katika uwanja wa Himo Polisi kwa ajili ya kushuhudia fainali ya Mashindano ya Kombe la Jimbo ,maarufu kama Mbatia Cup 2015.Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa,James Mbatia akisamiana na wachezaji wa timu ya Wazalendo fc kabla ya kuanza kwa mchezo.
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akikagua kikosi cha wachezaji wa timu ya Himo fc.
Kikosi cha timu ya Himo fc.Kikosi cha timu ya Wazalendo fc.Heka heka zikiendelea...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE JAMES MBATIA ACHANGISHA FEDHA KUNUSURU ELIMU JIMBO LA VUNJO

Mbunge wa kuteuliwa akizungumza wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa Bweni ;a wavulana katika shule ya sekondari Bishop Moshi.

Mkuu wa shule ya sekondari Boshop Moshi,Sophia Mushi akisoma risala mbele ya mgeni ,Mbunge wa kuteuliwa James Mbatia.
Wanafunzi wa kidato cha nne katika shule hiyo walichangia mifuko mitatu ya Sementi ambayo walikabidhi kwa mgeni rasmi Mbunge Mbatia.
Mbunge Mbatia akichangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa Bweni.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

BBCSwahili

Shilingi ya Tanzania yazidi kuporomoka

Shilingi ya Tanzania imeendelea kushuka kwa asilimia 20 dhidi ya dola ya Kimarekani,na kuathiri mitaji ya uwekezaji.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sarafu ya 500/- ni kuporomoka kwa shilingi?

TAKRIBANI wiki mbili zimepita tangu sarafu ya sh.  500 zilipoingia kwenye mzunguko wa fedha na kuanza kutumika  baada ya mchakato wa kubadilisha fedha hizo kutoka kwenye noti kwenda kwenye sarafu...

 

10 years ago

Michuzi

MCHUMI WA BOT AELEZA SABABU ZA KUSHUKA NA KUPANDA GHAFLA KWA THAMANI YA SHILINGI YA TANZANIA

Mchumi kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Lusajo Mwankemwa akielezea sababu za kushuka na kupanda ghafla kwa thamani ya Shilingi ya Tanzania katika banda la BOT viwanja vya SabaSaba jijjini Dar es salaam Juni 30, 2015

 

10 years ago

Mwananchi

Yaliyojificha kuporomoka kwa shilingi dhidi ya Dola ya Marekani

>Katika ukurasa wangu wa facebook mnamo tarehe 25 Aprili 2015 niliandika kuhusu sababu za shilingi kuporomoka thamani na majawabu ya namna ya kurejesha thamani halisi ya sarafu yetu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani