Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali itoe tamko michango ya darasa la kwanza

>Kwa muda mrefu sasa wananchi wamekuwa wakilalamikia michango wanayotozwa wazazi/walezi pale wanapokwenda kuwaandikisha watoto wao darasa la kwanza kila ifikapo mwanzoni mwa mwaka.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali itoe tamko mbegu za vinasaba — Wadau

WADAU wa sekta binafsi za kilimo nchini wameitaka serikali kutoa tamko pamoja na  takwimu za awali kutokana na uchunguzi unaofanywa juu ya matumizi ya mbegu zilizochanganywa vinasaba. Wadau hao walibainisha...

 

10 years ago

Mtanzania

Mbatia aitaka Serikali itoe tamko anguko la shilingi

mbatiaPatricia Kimelemeta na Shabani Matutu

WAZIRI kivuli wa Fedha, James Mbatia ameitaka Serikali na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kutoa tamko kutokana na kuporomoka kwa thamani ya shilingi hali ambayo inahatarisha uchumi wa taifa.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mbatia alisema kama Serikali itashindwa kufanya hivyo, atawasilisha taarifa kwenye kikao kijacho cha Bunge mjini Dodoma kinachotarajiwa kuanza Mei 12 ili wabunge wajadili suala hili.
Alisema mzunguko wa fedha za...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘TFDA itoe tamko dawa ya meno inayofaa’

MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) na Shirika la Viwango nchini (TBS) wametakiwa kufanya uchunguzi na kutoa tamko kuhusu dawa za meno zinazofaa. Rai hiyo ilitolewa  jijini Dar es Salaam...

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yafuta rasmi ada kwa elimu ya sekondari kidato cha kwanza hadi cha nne na michango yote katika elimu ya msingi

Serikali imeamua kutoa elimu pasipo malipo kwa elimu ya msingi kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha nne, kuanzia mwaka wa masomo wa 2016 kama ilivyoahidi.  Azma hii ya serikali ni katika kutekeleza sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ambayo ina lengo la kuhakikisha kwamba watoto wote wa Tanzania wanapata Elimu bila kikwazo ikiwemo ada au malipo.  Katika kutekeleza maamuzi hayo, ada zote zilizokuwa zikilipwa kwa ajili ya elimu ya kidato cha kwanza hadi cha nne zimefutwa.Pia, waraka wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali itoe ufafanuzi ongezeko hili la kodi

Ongezeko la ghafla la kodi ya asilimia 20 kwa bia na vinywaji vikali na baridi ambalo lilitangazwa na Serikali mwezi huu limewaacha watengenezaji wa bidhaa hizo wakiwa katika mfadhaiko mkubwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali itoe ulinzi kwa vipaji na ubunifu vya Watanzani

Yapo mambo ambayo mtu anawajibika kuyafanya mwenyewe, pia yapo ambayo Serikali inapaswa iyafanye kwa watu wake.

 

11 years ago

Mwananchi

Msigwa aibana Serikali itoe majibu ripoti ya ITV London

Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii, Mchungaji Peter Msigwa, ameitaka Serikali kutoa majibu sahihi baada ya gazeti la Daily Mail on Sunday la Uingereza, kuchapisha habari inayoeleza kuwa Tanzania ni kinara wa ujangili, huku Rais Jakaya Kikwete akifumbia macho.

 

11 years ago

Mwananchi

Uandikishaji Darasa la Kwanza utata mtupu

Msimu wa uandikishaji watoto wanaoanza darasa la kwanza, umeanza, huku kukiwa na malalamiko lukuki hasa kutokana na michango inayotozwa kwa watoto wanaokwenda kuanza darasa la kwanza.

 

11 years ago

Habarileo

Dar ya kwanza kitaifa matokeo darasa la 7

MKOA wa Dar es Salaam umekuwa wa kwanza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba huku wanafunzi wote 10 bora kwa upande wa wavulana na kumi bora kwa upande wa wasichana wakitoka Shule ya Tusiime ya jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani