Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘TFDA itoe tamko dawa ya meno inayofaa’

MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) na Shirika la Viwango nchini (TBS) wametakiwa kufanya uchunguzi na kutoa tamko kuhusu dawa za meno zinazofaa. Rai hiyo ilitolewa  jijini Dar es Salaam...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali itoe tamko michango ya darasa la kwanza

>Kwa muda mrefu sasa wananchi wamekuwa wakilalamikia michango wanayotozwa wazazi/walezi pale wanapokwenda kuwaandikisha watoto wao darasa la kwanza kila ifikapo mwanzoni mwa mwaka.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali itoe tamko mbegu za vinasaba — Wadau

WADAU wa sekta binafsi za kilimo nchini wameitaka serikali kutoa tamko pamoja na  takwimu za awali kutokana na uchunguzi unaofanywa juu ya matumizi ya mbegu zilizochanganywa vinasaba. Wadau hao walibainisha...

 

10 years ago

Mtanzania

Mbatia aitaka Serikali itoe tamko anguko la shilingi

mbatiaPatricia Kimelemeta na Shabani Matutu

WAZIRI kivuli wa Fedha, James Mbatia ameitaka Serikali na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kutoa tamko kutokana na kuporomoka kwa thamani ya shilingi hali ambayo inahatarisha uchumi wa taifa.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mbatia alisema kama Serikali itashindwa kufanya hivyo, atawasilisha taarifa kwenye kikao kijacho cha Bunge mjini Dodoma kinachotarajiwa kuanza Mei 12 ili wabunge wajadili suala hili.
Alisema mzunguko wa fedha za...

 

10 years ago

Mwananchi

TFDA yafuta usajili wa dawa zenye madhara

Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imefuta usajili na kuzuia uingizaji na uuzaji wa dawa tano za binadamu baada ya kubainika kuwa na madhara.

 

10 years ago

Mtanzania

Dawa hizi ni hatari kwa binadamu — TFDA

dawaOLIVER OSWALD NA ESTER MNYIKA, DAR ES SALAAM,
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA), imeziondoa sokoni na kuzifutia usajili aina tano za dawa zinazotumiwa na binadamu baada ya kugundulika kuwa zina madhara katika mwili wa binadamu.

Sambamba na hatua hiyo, pia imepiga marufuku uingizaji, usambazaji na matumizi ya dawa hizo.

Uamuzi huo ulitangazwa jana na Mkurugenzi Mkuu wa TFDA, Hiiti Sillo, katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika ofisini kwake Dar es Salaam.

Sillo alisema mamlaka...

 

10 years ago

Mwananchi

TFDA ichunguze ukweli kuhusu dawa hizi

Dunia hivi sasa inatikiswa na taarifa za kisayansi kwamba mojawapo ya dawa ya meno iliyopo kwenye soko ina kemikali aina ya triclosan ambayo ina sababisha ugonjwa wa saratani ambao kisayansi hadi hivi sasa hauna tiba.

 

10 years ago

Habarileo

Mtaalamu ashauri uangalifu dawa za meno

Dk Fenela Mukangara.BAADHI ya dawa za kusafisha meno zinazouzwa nchini zimeelezwa kukosa viwango stahiki vya madini ya fluoride inayotakiwa, jambo linaloweza kusababisha kuongezeka kwa matatizo ya afya ya kinywa na meno.

 

11 years ago

Habarileo

Jamii yaaswa kuhusu dawa ya meno

JAMII imeaswa kukagua dawa ya meno kabla ya kutumia kujiridhisha na ubora na viwango.

 

10 years ago

Michuzi

TFDA YAFUTA USAJILI NA KUDHIBITI ZAIDI MATUMIZI YA BAADHI YA DAWA ZA BINADAMU NCHINI

 Pichani ni Mkurugenzi Mkuu wa TFDA Bw. Hiiti Sillo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika mkutano na waandishi wa habari katika kueleza maamuzi ya TFDA kufuta usajili na kubadili matumizi ya baadhi ya dawa nchini. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa TFDA Makao Mkuu
 Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imezifutia Usajili wa Dawa tano  za Binadamu kutokana na kuwepo makosa mbalimbali.         Hayo yameelewa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi mkuu   TFDA Bwana Hiiti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani