Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dawa hizi ni hatari kwa binadamu — TFDA

dawaOLIVER OSWALD NA ESTER MNYIKA, DAR ES SALAAM,
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA), imeziondoa sokoni na kuzifutia usajili aina tano za dawa zinazotumiwa na binadamu baada ya kugundulika kuwa zina madhara katika mwili wa binadamu.

Sambamba na hatua hiyo, pia imepiga marufuku uingizaji, usambazaji na matumizi ya dawa hizo.

Uamuzi huo ulitangazwa jana na Mkurugenzi Mkuu wa TFDA, Hiiti Sillo, katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika ofisini kwake Dar es Salaam.

Sillo alisema mamlaka...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

TFDA ichunguze ukweli kuhusu dawa hizi

Dunia hivi sasa inatikiswa na taarifa za kisayansi kwamba mojawapo ya dawa ya meno iliyopo kwenye soko ina kemikali aina ya triclosan ambayo ina sababisha ugonjwa wa saratani ambao kisayansi hadi hivi sasa hauna tiba.

 

10 years ago

Michuzi

TFDA YAFUTA USAJILI NA KUDHIBITI ZAIDI MATUMIZI YA BAADHI YA DAWA ZA BINADAMU NCHINI

 Pichani ni Mkurugenzi Mkuu wa TFDA Bw. Hiiti Sillo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika mkutano na waandishi wa habari katika kueleza maamuzi ya TFDA kufuta usajili na kubadili matumizi ya baadhi ya dawa nchini. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa TFDA Makao Mkuu
 Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imezifutia Usajili wa Dawa tano  za Binadamu kutokana na kuwepo makosa mbalimbali.         Hayo yameelewa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi mkuu   TFDA Bwana Hiiti...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Maadui’ hatari kwa afya ya binadamu

UJUZI wa kitabibu na teknolojia ya afya ya mwanadamu vinaendelea kukua. Licha ya maendeleo hayo, magonjwa ya kuambukiza yanaendelea kuikumba dunia na kuwatesa wanadamu. Serikali nyingi duniani zinaelemewa na gharama...

 

9 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA (TFDA) KUJIENDESHA KIDIGITALI KWA LENGO LA KUBORESHA UTENDAJI WAKE

MAMLAKA ya  Chakula na Dawa  nchini Tanzania, (TFDA)  kwa ushirikiano na Taasisi ya TradeMark East Africa (TMEA)  imezindua mfumo wa taarifa za kiutendaji,  e-portal ambayo itawezesha TFDA kuhudumia wateja wake  kwa mfumo wa kidigitali  kwa kutumia mtandao wa internet ambapo sasa huduma za TFDA zitatolewa  moja kwa moja kupitia mtandao wa internet hivyo kuleta  ufanisi zaidi .


Mfumo unaozinduliwa leo umegharim TFDA takriban Tsh. 300 Milion na kutoka Taasisi ya TMEA imetumia Dola za Marekani $...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hatari tupu TFDA

UZEMBE wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) wa kutochukua hatua stahiki dhidi ya mmiliki wa duka la dawa baridi la Core Pharmacy, Sohil Lalani aliyelalamikiwa na Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Dawa za kuongeza uchungu hatari kwa wajawazito

MATUMIZI ya dawa za kienyeji kwa ajili ya kuongeza uchungu na kujifungua mapema, imeelezwa kuchangia zaidi vifo kwa wajawazito.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TFDA yakamata tani 34 za vipodozi hatari

MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA), imesema katika kaguzi za mwaka 2012 hadi 2013  wamekamata jumla ya tani 34 za vipodozi visivyofaa vyenye thamani ya sh milioni 188. Ofisa Habari...

 

5 years ago

Michuzi

Dawa ya Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) yatoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa corona


DAWA iliyofanyiwa kazi na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imetoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona.
Dawa hiyo iliyopewa jina la NIMRCAF (pichani), inatokana na mchanganyiko wa vyakula; na katika majaribio imeonesha ina uwezo mkubwa wa kudhibiti virusi vya corona. 

Akielezea mchanganyiko huo, Mkurugenzi wa Kitengo cha Tiba Asili cha NIMR, Dk Justine Omolo alisema ni fomula ya tiba lishe, ambayo ina mchanganyiko wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona : Hatari ya kuwepo kwa dawa bandia katika nchi za Afrika

Idadi kubwa ya dawa bandia zinazohusishwa na virusi vya corona zinauzwa katika nchi zinazoendelea, Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa tahadhari

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani