TFDA ichunguze ukweli kuhusu dawa hizi
Dunia hivi sasa inatikiswa na taarifa za kisayansi kwamba mojawapo ya dawa ya meno iliyopo kwenye soko ina kemikali aina ya triclosan ambayo ina sababisha ugonjwa wa saratani ambao kisayansi hadi hivi sasa hauna tiba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania24 Jan
Dawa hizi ni hatari kwa binadamu — TFDA
OLIVER OSWALD NA ESTER MNYIKA, DAR ES SALAAM,
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA), imeziondoa sokoni na kuzifutia usajili aina tano za dawa zinazotumiwa na binadamu baada ya kugundulika kuwa zina madhara katika mwili wa binadamu.
Sambamba na hatua hiyo, pia imepiga marufuku uingizaji, usambazaji na matumizi ya dawa hizo.
Uamuzi huo ulitangazwa jana na Mkurugenzi Mkuu wa TFDA, Hiiti Sillo, katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika ofisini kwake Dar es Salaam.
Sillo alisema mamlaka...
11 years ago
Mwananchi18 May
Tupeni ukweli kuhusu dawa ya Truvada
10 years ago
Mwananchi24 Jan
TFDA yafuta usajili wa dawa zenye madhara
11 years ago
Tanzania Daima22 Mar
‘TFDA itoe tamko dawa ya meno inayofaa’
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) na Shirika la Viwango nchini (TBS) wametakiwa kufanya uchunguzi na kutoa tamko kuhusu dawa za meno zinazofaa. Rai hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam...
11 years ago
Mwananchi25 Jun
UKWELI UTAKUWEKA HURU: Kwa ishara hizi umefika mwisho wa CCM kuwa madarakani
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-9mMjqhoep4k/VMKWaWrov5I/AAAAAAACyT4/9E3pcA9CGhY/s72-c/New%2BPicture.png)
TFDA YAFUTA USAJILI NA KUDHIBITI ZAIDI MATUMIZI YA BAADHI YA DAWA ZA BINADAMU NCHINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-9mMjqhoep4k/VMKWaWrov5I/AAAAAAACyT4/9E3pcA9CGhY/s1600/New%2BPicture.png)
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imezifutia Usajili wa Dawa tano za Binadamu kutokana na kuwepo makosa mbalimbali. Hayo yameelewa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi mkuu TFDA Bwana Hiiti...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-YMYiL1FWNkU/Vifx55XsMyI/AAAAAAAIBkg/m34AzlGUdns/s72-c/New%2BPicture.png)
MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA (TFDA) KUJIENDESHA KIDIGITALI KWA LENGO LA KUBORESHA UTENDAJI WAKE
![](http://1.bp.blogspot.com/-YMYiL1FWNkU/Vifx55XsMyI/AAAAAAAIBkg/m34AzlGUdns/s320/New%2BPicture.png)
Mfumo unaozinduliwa leo umegharim TFDA takriban Tsh. 300 Milion na kutoka Taasisi ya TMEA imetumia Dola za Marekani $...
11 years ago
Mwananchi08 Mar
Wizara, TFDA wavutana kuhusu kiwanda
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Yanga watafute dawa ya chokochoko hizi
MWENYEKITI wa Yanga, Yusuf Manji, mwishoni mwa wiki alitoa onyo akikemea chokochoko zinazoendelea chini kwa chini ndani ya klabu hiyo kongwe. Kwa mujibu wa Manji, ni chokochoko dhidi ya Mwenyekiti...