Lowassa aitaka NEC itoe ufafanuzi wa malalamiko
Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema na Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Edward Lowassa ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kutoa ufafanuzi juu ya malalamiko yaliyojitokeza, katika uhakiki wa Daftrai la Wapigakura linalodaiwa kutokuwapo kwa baadhi ya majina.
Mgombea huyo amesema, tume hiyo inapaswa kuwa makini katika uendeshaji shughuli zake kwa sababu dunia inawaangalia na kuitaka kurekebisha kasoro hizo mapema.
Akizungumza katika mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
GPL29 Oct
10 years ago
Mtanzania29 Apr
Mbatia aitaka Serikali itoe tamko anguko la shilingi
Patricia Kimelemeta na Shabani Matutu
WAZIRI kivuli wa Fedha, James Mbatia ameitaka Serikali na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kutoa tamko kutokana na kuporomoka kwa thamani ya shilingi hali ambayo inahatarisha uchumi wa taifa.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mbatia alisema kama Serikali itashindwa kufanya hivyo, atawasilisha taarifa kwenye kikao kijacho cha Bunge mjini Dodoma kinachotarajiwa kuanza Mei 12 ili wabunge wajadili suala hili.
Alisema mzunguko wa fedha za...
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Serikali itoe ufafanuzi ongezeko hili la kodi
10 years ago
Michuzi
UFAFANUZI JUU YA MALALAMIKO YALIYOTOLEWA NA MH. DUNI JUU YA UWEPO WA VITUO HEWA
10 years ago
Mwananchi25 Feb
MAONI: Nec ifanyie kazi malalamiko ya wananchi
11 years ago
Dewji Blog05 Jul
Waziri Chikawe aitaka NEC kutoingilia majukumu ya kazi za NIDA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mh. Mathias Chikawe akifunga mkutano wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) uliofanyika ndani ya hoteli ya Snowcrest jiji Arusha.
Washiriki katika mkutano wa Wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi kwa makini wakati akifunga mkutano wao katika hoteli ya Snowcrest.
Waziri Chikawe anapena mkono na Mkurugenzi wa NIDA Dickson Maimu mara baada ya kutoa risala ya kufunga...
10 years ago
Mtanzania21 Oct
NEC yatoa ufafanuzi utaratibu wa kupiga kura
JONAS MUSHI NA ALLEN MSAPI (GHITBS), DAR ES SALAAM
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ufafanuzi zaidi juu ya masuala mbalimbali yanayowakanganya wananchi na kuibua taharuki kuhusu upigaji kura katika uchaguzi mkuu Jumapili ijayo.
Juzi, Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Damian Lubuva, alitoa taarifa kwa vyombo vya habari kufafanua masuala yaliyokuwa yakihojiwa na wananchi kuhusu upigaji kura, taarifa ambayo nayo iliibua maswali mengine.
Moja ya suala lililoleta utata ni taarifa kuwa mtu...
10 years ago
BBCSwahili29 Oct
Lowassa aitaka tume imtangaze kuwa mshindi Tanzania