Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GLOBAL TV ONLINE: LOWASSA AITAKA NEC KUMTANGAZA YEYE KUWA NDIYE RAIS WA TANZANIA

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Tamko la Edward Lowassa Baada ya NEC Kumtangaza Dr Magufuli Kuwa Mshindi wa Kiti cha Urais


Watanzania wenzangu!Leo tarehe 29 October 2015, kwa kupitia Mgombea Mwenza wangu, Mh. Juma Duni Haji nimewasilisha rasmi malalamiko yetu kuhusu mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu wa 2015 kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Tumeainisha kwenye malalamiko yetu, kutokuridhishwa kwetu na mwenendo na matukio mbalimbali, hususani, utangazaji wa matokeo batili, yasiyo akisi matokeo halisi yaliyopatikana kwenye vituo vya kupiga kura, kama ifuatavyo.

• Upunguzwaji wa kura zangu• Kuongeza kura kwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Lowassa aitaka tume imtangaze kuwa mshindi Tanzania

Mgombea urais wa chama cha Chadema Edward Ngoyai Lowassa ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania kumtangaza mshindi wa uchaguzi wa urais akidai alishinda uchaguzi huo.

 

9 years ago

StarTV

Lowassa aitaka NEC itoe ufafanuzi wa malalamiko

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema na Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Edward Lowassa ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kutoa ufafanuzi juu ya malalamiko yaliyojitokeza, katika uhakiki wa Daftrai la Wapigakura linalodaiwa kutokuwapo kwa baadhi ya majina.

Mgombea huyo amesema, tume hiyo inapaswa kuwa makini katika uendeshaji shughuli zake kwa sababu dunia inawaangalia na kuitaka kurekebisha kasoro hizo mapema.

 

 Akizungumza katika mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi...

 

11 years ago

Bongo5

Chris Brown adai kuwa Karrueche Tran hakumpiga chini bali yeye ndiye amempiga kibuti, zifahamu sababu

Vyanzo vya karibu na mwimbaji Chris Brown vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa Chris ameshangazwa na habari za hivi karibuni kuwa amepigwa chini na mpenzi wake wa On/Off Karrueche Tran, na kudai kuwa yeye (Chris) ndiye aliyempiga kibuti mrembo huyo. Vyanzo hivyo vimesema kuwa Breezy amemuacha Karrueche baada ya kugundua alikuwa anawasiliana na kuwatumia picha wanaume […]

 

9 years ago

Vijimambo

DK.MAGUFULI ASEMA WAPINZANI WANUNE, WACHEKE YEYE NDIYE RAIS 2015, AMFAGILIA NAPE MTAMA

 Mgombea urais wa Tganzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akimnadi kwa wananchi mgombea ubunge Jimbo la Mtama, ambaye pia Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye mjini Mtama leo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG.
Akihutubia mjini Mtama, amesema kuwa Wapinzani Wanune, Wacheke yeye ndiye Rais 2015 na atahakikisha anafanya kazi kwa kuwaletea mafanikio watanzania. Moja ya mabango katika mkutano wa kampeni mjini Mtama Mgombea ubunge Jimbo la Mtama, Nape Nnauye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani