Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UFAFANUZI JUU YA MALALAMIKO YALIYOTOLEWA NA MH. DUNI JUU YA UWEPO WA VITUO HEWA

ufafanuzi na jinsi ambavyo Kamati ya Maadili ya vyama vyenye wagombea Urais Taifa Ilivyo shughulikia malalamiko toka kwa Mgombea Mwenza wa CHADEMA Ndg J. Duni , kwamba Tume ya taifa ya Uchaguzi imeandaa Vituo vya wapiga kura HEWA zaidi ya 20,000.Viambatanisho 1. Maamuzi ya Kamati 2. Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar Hamid Mahmoud Hamid

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Makazi duni Nigeria: Makazi duni Lagos yako juu ya maji

Mamilioni ya raia wa Nigeria wanaishi katika maisha duni kupita kiasi.

 

9 years ago

Michuzi

UFAFANUZI JUU YA UKAGUZI WA MATUMIZI YA MISAMAHA YA KODI


ISO 9001:2008 CERTIFIEDTAARIFA KWA UMMAKumekuwa na upotoshwaji kuhusu zoezi la ufuatiliaji wa matumizi ya misamaha ya kodi inayosimamiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa wafanyabiashara, wawekezaji, Taasisi za Dini na Taasisi zisizo za kiserikali kwa maelezo kwamba TRA inazilenga baadhi ya Taasisi.
Sheria ya Mamlaka ya Mapato Tanzania inaipa Mamlaka ya kusimamia, kukagua na kuhakiki mapato ya Serikali pamoja na kuzuia ukwepaji wa kodi wa aina yoyote ile ikiwemo matumizi mabaya ya...

 

10 years ago

Michuzi

UFAFANUZI JUU YA HALI YA AFYA YA NAIBU SPIKA

Naibu Spika wa Bunge,Mh. Job Ndugai.

 

10 years ago

Mwananchi

Maambukizi mfumo wa juu wa hewa kwa watoto

Msomaji wa kona hii toka Marangu, Kilimanjaro anaeleza kuwa mtoto wake mwenye miezi tisa anaugua mafua.

 

5 years ago

Michuzi

TMA yatolea ufafanuzi juu ya taharuki ya hali ya anga kuwa na Rangi mbili

Na Karama Kenyunko globu ya jamii. 
KUFUATIA kuwepo kwa taharuki na maswali kutoka kwa Umma juu ya muonekano wa anga kuwa na rangi nyekundu au ya chungwa jana Aprili 16,2020 katika baadhi ya maeneo nchini, Mamlaka ya Hali ya hewa nchini TMA imetolea ufafanuzi hali hiyo na kusema kuwa ni hali ya kawaida kutokea.
Katika taarifa yake iliyotolewa leo Aprili 17, 2020 imeeleza kuwa, hali hiyo hutokea wakati jua linapozama au kuchomoza katika mazingira yenye kuwa na hali ya hewa kama vile mawingu,...

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yatoa Ufafanuzi juu ya uzushi wa kifo cha Rais wa Awamu ya Tatu

Na Georgina Misama-MAELEZO Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene amekanusha taarifa za uzushi zinazosambazwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii kuhusu kifo cha Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa. Akiongea katika mkutano na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam Bw. Mwambene amesema kuwa Mhe. Rais Mkapa ni mzima na mwenye afya nzuri   anaendelea na shughuli zake kila siku kama kawaida. “Mhe. Rais Benjamin William Mkapa ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani