KINANA AITAKA SERIKALI KURAHISISHA UTOAJI WA LESENI KWA WAFANYABIASHARA,MADEREVA WA MAGARI NA BODABODA
![](http://3.bp.blogspot.com/-anBJxm5odYo/VXx2NYDnRjI/AAAAAAAC6iQ/JxvMUDk-4Lk/s72-c/7.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizindua rasmi Chanjo ya watoto kuzuia maambukizi ya magonjwa katika kata ya Nyakisasa kijiji cha Kashinga akiwa katika ziara yake ya kikazi wilayani Ngara mkoani Kagera,lengo la ziara hiyo likiwani ni kukagua utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2010 na kuhimiza uhai wa chama, Katika ziara hiyo Kinana anaongozana na ktibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na viongozi mbalimbali wa CCM kutoka mkoa wa Kagera.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV24 Dec
Makonda azuia utoaji wa leseni kwa maeneo ya kuuzia magari
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda amezuia utoaji wa leseni za maeneo ya kuuzia magari ikiwa ni pamoja na kumuagiza Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kuja na mpango kazi wa kutenga maeneo maalumu ya kuuzia magari ifikapo Desemba 26, mwaka huu.
Zuio hilo ni sehemu ya mpango mkakati wa kudhibiti ongezeko holela la maduka hayo na kisha kutoa mwaka mmoja kwa wamiliki wa maeneo hayo kujipanga na kuhamia kwenye maeneo husika yatakayopangwa na manispaa kwajili ya biashara hiyo.
Kuyumba kwa...
11 years ago
CloudsFM19 Jun
SUGU AITAKA SERIKALI KUWASAIDIA WAFANYABIASHARA WADOGOWADOGO
Kinachoendelea bungeni mjini Dodoma, baada ya bajeti kusomwa wiki iliy opita, sasa hivi ni wakati wa wabunge kuchangia mawazo na mitazamo yao kwenye bajeti hii ya mwaka wa fedha 2014/2015,, mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu, hivi karibuni aliishauri serikali kuwasaidia wafanyabiashara wadogo wadogo ili kuweza kunyanyua uchumi wao na taifa kwa ujumla.
10 years ago
Dewji Blog10 Apr
EXCLUSIVE: “Serikali yafuta vikwazo vyote kwa Madereva Nchini..magari yaanza safari muda huu
Waziri wa Kazi na Ajira nchini, Gaudensia Kabaka akiongea na madereva kwa kutumia kipaza sauti mapema mchana huu na kufuta baadhi ya vikwazo walivyokuwa wakivipinga madereva.
Andrew Chale wa Modewji blog
Hali ya mambo katika ‘segere’ la Madereva Nchini la kuweka mgomo baridi la kutoingia barabarani hadi hapo madai yao ya msingi...
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Kinana: Serikali irahisishe upatikanaji leseni wilayani
Na Patricia Kimelemeta, Ngara
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, ameitaka Serikali kurahisisha upatikanaji wa leseni kwenye wilaya zote nchini badala ya kutolewa makao makuu ya miji pekee.
Alisema kufanya hivyo ni kuchelewesha maendeleo na shughuli za Watanzania ambao wanajitafutia riziki na badala yake mchakato huo uwafuate wananchi kwenye wilaya zao.
Kinana alitoa wito huo jana wakati akihutubia wananchi wa Wilaya ya Ngara mkoani Kagera, katika ziara yake ya siku...
11 years ago
Mwananchi08 Jul
TEKNOLOJIA: Mfumo mpya wa TRA kurahisisha utoaji mizigo
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-wXHMOsKTIzY/Xm443UFe1zI/AAAAAAAAIfU/iQ7hQbo_j3gKH3wvWrWJAh9iFrNvpx2NwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200315_130801.jpg)
GAMBO AWATAKA MADEREVA BODABODA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUFICHUA UHALIFU MKOANI HUMO
![](https://1.bp.blogspot.com/-wXHMOsKTIzY/Xm443UFe1zI/AAAAAAAAIfU/iQ7hQbo_j3gKH3wvWrWJAh9iFrNvpx2NwCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200315_130801.jpg)
Sehemu wa Madereva bodaboda wa Mkoa wa Arusha wakiwa kwenye mkutano wao na mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kwenye ukumbi wa Hotel ya Mount Meru jijini hapa picha na Ahmed Mahmoud Arusha
Na Ahmed Mahmoud Arusha
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ameliamuru Jeshi la polisi kuziachilia Pikikipi zote Zenye makosa madogo madogo yasiyohusiana na mtukio ya uhalifu zilizoshikwa kwenye Vituo vya polisi .
Ametoa Agizo hilo wakati wakikao chake chakutatua changamoto zinazowakabili madereva wa...
5 years ago
MichuziMADEREVA 13 WAMESIMAMISHIWA LESENI ZAO KWA MUDA WA MIEZI SITA
Kamishina msaidizi mwandamizi wa polisi Tanzania SACP Fotunatus Musilimu akiwa na dereva aliyekuwa anaendesha basi bila kufuata utaratibu na sheria za barabarani.
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
Madereva 13 wamesimamishiwa leseni zao kwa muda wa miezi sita na kutokujihusisha na kazi ya udereva wa magari makubwa kwa kosa la kuvunja sheria za uslama barabarani kwa kuendesha
magari hayo kwa mwendo kasi.
Kamishina msaidizi mwandamizi wa polisi Tanzania SACP Fotunatus Musilimu ameeleza kuwa suala la ajari...
9 years ago
MichuziWACHIMBAJI WADOGO SHINYANGA WAPATIWA MAFUNZO KUHUSU MFUMO MPYA WA UTOAJI LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO
10 years ago
MichuziKAMANDA MPINGA-MADEREVA WALIOSABABISHA AJALI KWA UZEMBE KUFUTIWA LESENI ZAO.
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.
KIKOSI cha Usalama Barabarani kimesema wanazifuta leseni zote kwa madereva waliosababisha ajali kwa uzembe zikiwemo ajali za hivi karibuni.
Hayo ameyasema leo...