Cassim adai anaamini biashara ya album itarejea tena
Cassim Mganga amedai kuwa pamoja na biashara ya album kufa, dalili zinaonesha kuwa mbeleni itarejea tena. Cassim ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa wimbo mmoja ukiusimamia vizuri unaweza ukakulipa zaidi ya album. “Kama mwanamuziki lazima uwe na album lakini sasa hivi biashara ya album imekuwa ngumu sana. Watu wanapata pesa za kuendesha maisha kupitia shows. Kwahiyo […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Keissy adai anaamini katika Serikali moja
9 years ago
Bongo504 Dec
Cassim adai kuzipa exclusive TV za nje kabla ya nyumbani si kitu kizuri

Hitmaker wa Subira, Cassim Mganga amesema haoni kama ni ufahari kupeleka video yake ikaoneshwe kama exclusive kwenye vituo vya runinga vya nje na kuwaacha watanzania wengi wakisubiria.
Akizungumza na Bongo5, Cassim amesema haoni uzito wa suala hilo kama ambavyo wengine wanavyolichukulia.
“Mimi na video yangu ya Subira nilisema nisianzie huko, kwanini mtu upate exclusive huko ndio uonekane kwamba wewe unakwenda kimataifa?” amehoji.
“Hata hapa nyumbani ni kimataifa vile vile wanaweza...
10 years ago
Bongo502 Nov
Cassim adai Babu Tale hakuwa ‘kiongozi’ wakati yupo Tip Top

9 years ago
Bongo512 Nov
Alikiba adai album yake Cinderella iliuza kopi milioni 2

Hitmaker wa Chekecha Cheketua, Alikiba amesema album yake ya kwanza, Cinderella ilivunja rekodi na kuuza ‘double platinum’ (nakala milioni mbili).
Akizungumza katika kipindi cha XXL cha Clouds FM, Alikiba alisema mpaka leo hajasikia kama rekodi hiyo imevunjwa.
“Kiukweli album yangu ya kwanza ya Cinderella ndio ilivunja rekodi na sijasikia mpaka leo kama rekodi hiyo imevunjwa,” alisema. “Sijui (nakala) ni milioni mbili vile, kitu kama hicho, kila album ilikuwa inauzwa mia mbili,” alisema...
10 years ago
Bongo513 Feb
Kwanini ni muhimu wasanii wa Tanzania waanze kutoa album tena!
10 years ago
Bongo522 Sep
Wizkid aahirisha tena kuachia album mpya mpaka mwakani (2016)!
10 years ago
Bongo530 Oct
Babu Tale adai anatamani kufanya kazi tena na Z Anto
10 years ago
Bongo517 Sep
Ray adai hakuna tena ushindani kwenye filamu za Bongo
10 years ago
GPL
SKENDO WODINI: MAMA ADAI KUJIFUNGUA MTOTO WA KIUME, APEWA WA KIKE TENA MAITI