Ray adai hakuna tena ushindani kwenye filamu za Bongo
Msanii mkongwe wa filamu nchini, Vicent Kigosi ‘Ray’ amesema baada ya kufariki Steven Kanumba tasnia ya filamu imekosa ushindani wa ndani na nje. Akizungumza kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV, Ray alisema kazi yake na maisha yake vimetikisika kutokana na kukosa mshindani kama alivyokuwa Kanumba. “Kwa upande wangu vitu vingi vimetikisika kwa sababu […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies17 Sep
Ray: Hakuna Tena Ushindani Kwenye Filamu
Msanii mkongwe wa filamu nchini, Vicent Kigosi ‘Ray’ amesema baada ya kufariki Steven Kanumba tasnia ya filamu imekosa ushindani wa ndani na nje.
Akizungumza kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV, Ray alisema kazi yake na maisha yake vimetikisika kutokana na kukosa mshindani kama alivyokuwa Kanumba.
“Kwa upande wangu vitu vingi vimetikisika kwa sababu Kanumba ndio alikuwa mshindani wangu, kwenye maisha yangu ya kawaida na filamu,” alisema.
“Kanumba alikuwa akifanya hivi lazima na mimi...
9 years ago
Bongo510 Dec
Kingwendu adai wasanii wa komedi wataiokoa tasnia ya filamu Bongo
![Kingwendu.._full](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/12/Kingwendu.._full-200x200.jpg)
Mchekeshaji, Rashidi Mwinshehe aka Kingwendu, amesema baada ya wasanii wa filamu za kawaida kushindwa kuendeleza mafanikio aliyoyaacha marehemu Steven Kanumba, wasanii wa wa kuchekesha wanajipanga kufanya mabadiliko ya filamu ndani ya mwaka 2016.
Mwigizaji huyo ambaye mwaka huu aligombea ubunge katika jimbo la Kisarawe, amekiambia kipindi cha Wasanii cha Pamoja Radio ya nchini Uholanzi kuwa, wasanii wa kuchekesha wamejipanga vizuri kuhakikisha bendera ya Tanzania inapepea zaidi kupitia...
9 years ago
Bongo528 Dec
JB adai anajali heshima kuliko pesa kwenye filamu
![JB](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/JB-300x194.jpg)
Muigizaji wa ‘Chungu cha Tatu’ Jacob ‘JB’ Stephen amesema yupo tayari kuwekeza zaidi ya shilingi milioni 200 kwenye filamu bila kujali hasara ili kujenga heshima yake katika tasnia ya filamu.
JB amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa, ameamua kuwaridhisha mashabiki wake wa filamu kwa kufanya kazi za gharama za juu na zenye ubora.
“Mimi nimetengeneza sinema zaidi ya 37 mpaka sasa hivi kupitia kampuni yangu ya Jerusalem na pesa zipo kwenye akaunti yangu lakini kumbukumbu yangu kubwa...
9 years ago
Bongo528 Sep
Wakazi na One The Incredible kuonekana kwenye filamu ‘Bongo na Fleva’
10 years ago
Mtanzania22 May
BATULI: Kanumba kama kaacha laana kwenye filamu za bongo
NA FESTO POLEA
APRILI 7 mwaka 2012 tasnia ya filamu ilipatwa na majonzi makubwa kutokana na kifo cha aliyekuwa mwigizaji nguli, Steven Kanumba, ambaye alikuwa kipenzi cha wengi ndani na nje ya nchi.
Licha ya wengi kutokuamini kwa muda huo, baada ya muda ikagundulika kweli amefariki, hivyo majonzi zaidi yakarindima, huku kila mtu akisema lake kuhusu kifo hicho.
Baada ya mazishi yake mashabiki walijipa matumaini kwamba tasnia hiyo licha ya kumpoteza mwigizaji huyo ingeendelea vema kutokana na...
10 years ago
VijimamboAKI NA UKWA WA BONGO WAELEZEA MAFANIKIO YAO KWENYE TASNIA YA FILAMU
Wasanii wa komedi maarufu kama Aki na Ukwa wa Bongo Muvi wameelezea mafaniko yao kwenye tasnia ya filamu za vichekesho nchini kwa mara ya kwanza tangu wajiingize kwenye filamu mwaka 2010.
Wakizungumza na Komedi Zone, Meya Shabani ambaye ni 'Aki' na Nicholaus Ngoda 'Ukwa' wamesema kuwa...
9 years ago
Bongo519 Nov
Filamu ya Going Bongo kuanza kuoneshwa kwenye majumba sinema Dar kuanzia Dec 11
![Going Bongo filamu (31)](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Going-Bongo-filamu-31-300x194.jpg)
Filamu ya Going Bongo itaanza kuoneshwa kwenye majumba ya sinema jijini Dar es Salaam, ikiwemo Century Cinemax kuanzia December 11.
Filamu hiyo iliyoshinda tuzo ya Best East African Film (ZIFF) na Best International Film (BEFFTA UK) imechezwa na Ernest Napoleon.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Bongo509 Feb
PAPASO: Florah Mvungi adai Bongo Movie hawapendani na AT asema Bongo Fleva imejaa majungu tupu
11 years ago
Bongo519 Jul
Kabi Gethaiga: Mkenya aliyeigiza filamu ya Going Bongo aliyeshika nafasi ya 2 kwenye usaili uliompa Lupita Nyong’o shavu la ’12 Years A Slave’