Kabi Gethaiga: Mkenya aliyeigiza filamu ya Going Bongo aliyeshika nafasi ya 2 kwenye usaili uliompa Lupita Nyong’o shavu la ’12 Years A Slave’
Muigizaji wa Kenya, Kabi Gethaiga aliyeigiza kwenye filamu ya kwanza Afrika Mashariki kuuzwa kupitia iTunes, Going Bongo, angekuwa ‘Patsey’ kwenye filamu ya ’12 Years A Slave’, kama Lupita Nyong’o asingekuwepo. Kabi kwenye filamu ya Going Bongo Hata hivyo kwenye usaili wa kumpata msichana aliyeigiza uhusika huo alishika nafasi ya pili, nyuma ya Lupita ambaye amegeuka […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo509 Oct
Mdogo wa kiume wa Lupita Nyong’o, Peter Nyong’o apata shavu la kwanza la kuigiza filamu ya Hollywood
11 years ago
Tanzania Daima07 Feb
LUPITA NYONG’O: Mwanadada Mkenya anayetikisa Hollywood
ILIKUWA ni nadra kwa waigizaji wa Afrika Mashariki kung’ara katika medani za filamu hata wanapopata nafasi ya kufanya kazi na nyota wa Hollywood. Pamoja na kupata bahati hiyo mara kadhaa,...
9 years ago
Bongo515 Oct
Mkenya ala shavu kuhusika kwenye series maarufu ya Marekani, The Blacklist
10 years ago
Bongo527 Feb
Wezi waiba gauni la Lupita Nyong’o alilovaa kwenye tuzo za Oscars 2015 lenye thamani ya shilingi milioni 274
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/73321000/jpg/_73321825_3fniz3qf.jpg)
Oscar glory for Slave star Nyong’o
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Aliyeshika nafasi ya tatu azimia
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/6znpZ5Ne1ZA/default.jpg)