Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkenya ala shavu kuhusika kwenye series maarufu ya Marekani, The Blacklist

Muigizaji wa Kenya, Edi Gathegi, amekula shavu la kuigiza kwenye msimu wa tatu wa series ya kimarekani, The Blacklist. Gathegi alizaliwa Eastlands, Nairobi na kukulia California, Marekani. Amewahi kuigiza kwenye filamu kubwa kama X Men, Twilight na House. Kwenye msimu wa tatu wa series hiyo, Gathegi atakuwa upande wa maadui na atajulikana kama Mr. Solomon. […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Beyoncé akanusha kuhusika kwenye filamu inayomhusu mwanamke maarufu wa Afrika Kusini enzi za ukoloni

beyonce-flag

Beyoncé amekanusha kuhusika kwa namna yoyote ile kwenye filamu ya maisha ya Saartjie ‘Sarah’ Baartman.

beyonce-flag

Mapema wiki hii, ilidaiwa kimakosa kuwa Beyoncé ataandika na kucheza kwenye filamu ya mwanamke huyo wa Afrika Kusini aliyekuwa akioneshwa hadharani na wakoloni wa Uingereza kutokana na kuwa na umbo lenye utata hasa, hasa makalio makubwa miaka ya 1800s.

“Beyoncé is in no way tied to this project,” mwakilishi wake aliiambia Billboard. “This is an important story that should be told,...

 

11 years ago

Bongo5

Kabi Gethaiga: Mkenya aliyeigiza filamu ya Going Bongo aliyeshika nafasi ya 2 kwenye usaili uliompa Lupita Nyong’o shavu la ’12 Years A Slave’

Muigizaji wa Kenya, Kabi Gethaiga aliyeigiza kwenye filamu ya kwanza Afrika Mashariki kuuzwa kupitia iTunes, Going Bongo, angekuwa ‘Patsey’ kwenye filamu ya ’12 Years A Slave’, kama Lupita Nyong’o asingekuwepo. Kabi kwenye filamu ya Going Bongo Hata hivyo kwenye usaili wa kumpata msichana aliyeigiza uhusika huo alishika nafasi ya pili, nyuma ya Lupita ambaye amegeuka […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wamahanji ala shavu TFF

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Soka Mkoa wa Iringa (IRFA), Eliud Mvella ‘Wamahanji’ amejiunga na Sekretarieti ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Kwa mujibu wa Ofisa Habari...

 

10 years ago

GPL

WASTARA ALA SHAVU LA UBALOZI

Stori:  Imelda Mtema/Ijumaa Wikienda
MKALI wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amepata shavu la kuwa balozi wa kampeni ya kumsomesha mtoto wa kike ijulikanayo kama Morogoro Education Development Organization (MEDO). Mkali wa sinema za Kibongo, Wastara Juma akisaini mkataba wa kuwa balozi wa kampeni ya MEDO. Hafla fupi ya kusimikwa ubalozi huo na kusaini mkataba, ilifanyika hivi karibuni katika Ukumbi wa Hoteli ya Tamal,...

 

9 years ago

GPL

JB ALA SHAVU NONO LA UBALOZI

 Staa ‘the big name’ kwenye sinema za Kibongo, Jacob Stephen ‘JB’. Gabriel Ng’osha Shavu! Staa ‘the big name’ kwenye sinema za Kibongo, Jacob Stephen ‘JB’ amekula shavu nono la ubalozi wa kampuni ya kimataifa (jina kapuni kwa sasa) ambayo inatarajia kuanza kutoa huduma kwa Watanzania. Habari kutoka kwa mtu wa karibu wa JB zilieleza kwamba, ni dili kubwa ambalo jamaa hao walikuwa wakimtafuta balozi wao kabla ya...

 

5 years ago

Michuzi

AY ALA SHAVU LA INFINIX NOTE 7 (BIGI MAKINI)

MSANII Mkongwe katika industry ya muziki, "AY" anayetamba na kibao cha Danhela ala shavu la Ubalozi wa simu mpya ya Infinix NOTE 7.Kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii, @infinixmobiletz waliweka viashiria vya ubalozi huo wiki iliyopita na siku ya Jumamosi, Mei 9 walithibitisha ubalozi huo kupitia LIVE Session ya Instagram iliyo onyesha wawakilishi wa Infinix wakifanya mazungumzo na AY kuhusiana na simu ya Infinix NOTE 7.Infinix NOTE 7 imepewa jina la Bigi Makini, na ndio sababu kuu...

 

11 years ago

CloudsFM

DIAMOND ALA SHAVU JINGINE COKE STUDIO

STAA wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz amepata shavu jingine kwenye kipindi cha Coke Studio, baada ya kuteuliwa kwa mara nyingine kurekodi kwenye kipindi hiko ambacho wasanii wengi wanandoto na mchongo huo ambao ukiupata licha mtonyo wanaolipwa na kampuni kubwa ya cocacola wasanii hao wanapata platform ya kuonyeshwa kwa performance zao katika vituo vya tv kibao za barani Africa pamoja na kuonekana kwenye You Tube Channel za Cocacola studio.Meneja wa Diamond,Babu Tale anafunguka kwanini shavu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani