Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JB ALA SHAVU NONO LA UBALOZI

 Staa ‘the big name’ kwenye sinema za Kibongo, Jacob Stephen ‘JB’. Gabriel Ng’osha Shavu! Staa ‘the big name’ kwenye sinema za Kibongo, Jacob Stephen ‘JB’ amekula shavu nono la ubalozi wa kampuni ya kimataifa (jina kapuni kwa sasa) ambayo inatarajia kuanza kutoa huduma kwa Watanzania. Habari kutoka kwa mtu wa karibu wa JB zilieleza kwamba, ni dili kubwa ambalo jamaa hao walikuwa wakimtafuta balozi wao kabla ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WASTARA ALA SHAVU LA UBALOZI

Stori:  Imelda Mtema/Ijumaa Wikienda
MKALI wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amepata shavu la kuwa balozi wa kampeni ya kumsomesha mtoto wa kike ijulikanayo kama Morogoro Education Development Organization (MEDO). Mkali wa sinema za Kibongo, Wastara Juma akisaini mkataba wa kuwa balozi wa kampeni ya MEDO. Hafla fupi ya kusimikwa ubalozi huo na kusaini mkataba, ilifanyika hivi karibuni katika Ukumbi wa Hoteli ya Tamal,...

 

10 years ago

GPL

RAY C ALA TENDA NONO

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya Mungu mkubwa! Baada ya kupitia kipindi kigumu cha kutumia madawa ya kulevya ‘unga’ kisha kunusuriwa, super lady kwenye Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’, hatimaye mambo yameanza kumnyookea baada ya kulamba shavu tenda nono ya kulisha Hospitali ya Mwananyamala, Dar. Super lady kwenye Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’. Kwa mujibu wa chanzo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wamahanji ala shavu TFF

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Soka Mkoa wa Iringa (IRFA), Eliud Mvella ‘Wamahanji’ amejiunga na Sekretarieti ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Kwa mujibu wa Ofisa Habari...

 

5 years ago

Michuzi

AY ALA SHAVU LA INFINIX NOTE 7 (BIGI MAKINI)

MSANII Mkongwe katika industry ya muziki, "AY" anayetamba na kibao cha Danhela ala shavu la Ubalozi wa simu mpya ya Infinix NOTE 7.Kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii, @infinixmobiletz waliweka viashiria vya ubalozi huo wiki iliyopita na siku ya Jumamosi, Mei 9 walithibitisha ubalozi huo kupitia LIVE Session ya Instagram iliyo onyesha wawakilishi wa Infinix wakifanya mazungumzo na AY kuhusiana na simu ya Infinix NOTE 7.Infinix NOTE 7 imepewa jina la Bigi Makini, na ndio sababu kuu...

 

11 years ago

CloudsFM

DIAMOND ALA SHAVU JINGINE COKE STUDIO

STAA wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz amepata shavu jingine kwenye kipindi cha Coke Studio, baada ya kuteuliwa kwa mara nyingine kurekodi kwenye kipindi hiko ambacho wasanii wengi wanandoto na mchongo huo ambao ukiupata licha mtonyo wanaolipwa na kampuni kubwa ya cocacola wasanii hao wanapata platform ya kuonyeshwa kwa performance zao katika vituo vya tv kibao za barani Africa pamoja na kuonekana kwenye You Tube Channel za Cocacola studio.Meneja wa Diamond,Babu Tale anafunguka kwanini shavu...

 

9 years ago

GPL

MULTICHOICE YAJA NA DSTV BOMBA, DIAMOND ALA SHAVU

Meneja Mipango wa DStv, Baraka Shelukindo, akifafanua jinsi huduma ya Dstv Bomba inavyofanya kazi. Balozi wa DStv Bomba, Diamond Platnumz akisistiza jambo wakati akiwataka wananchi kujanjaruka na kutumia huduma za DStv na kutozihofia kama zamani kwa kuhisi ni huduma za watu wa kipato cha juu. Mapaparazi na wadau wengine wakisikiliza maelezo yaliyokuwa yakitolewa… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani