Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakazi na One The Incredible kuonekana kwenye filamu ‘Bongo na Fleva’

Wakazi na One The Incredible wataonekana kwenye filamu moja iitwayo Bongo na Fleva. Wakazi na One wakiwa kwenye set ya filamu ya Bongo na Fleva Wakazi ameshare picha kwenye Instagram inayomuonesha akiwa kwenye set ya filamu hiyo na kuandika: Did you know that Wakazi can act?! Well now you know!!!! Soon kwenye kideo utaona maujanja […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Stara arudi kwenye muziki wa Bongo Fleva

MWIMBAJI wa injili nchini, Stara Thomas ‘Stara’, ameamua kurudi rasmi katika muziki wa Bongo Fleva ambapo hivi karibuni anatarajia kuachia wimbo wake aliomshirikisha Banana Zoro. Akizungumza na MTANZANIA jana, Stara alisema anaimani wimbo huo uliopewa jina la ‘Nishike mkono’, utamtambulisha upya.
“Nimeamua kurudi nilipotekea, najua mashabiki zangu wengi watakuwa wakikumbukua jinsi gani nilikuwa nafanya vizuri,” alisema Stara.
Alisema wimbo huo utaweza kuonyesha jinsi gani amezaliwa na...

 

10 years ago

CloudsFM

Shoo ya miaka 15 ya Dully Sykes kwenye Bongo Fleva ni leo pande za Escape One

Leo ndo leo ndani ya Escape One mkongwe kwenye Bongo Fleva,Prince Dully Sykes anafanya tamasha kuadhimisha miaka 15 ndani ya tasnia ya Bongo Fleva,kwa kiingilio cha shs elfu 10,000 wasanii mbalimbali watakuwepo.

 

11 years ago

CloudsFM

DULLY SYKES ATIMIZA MIAKA KUMI NA TANO TANGU AINGIE KWENYE MUZIKI WA BONGO FLEVA

STAA wa Bongo Fleva,Dully Sykes mwaka huu ametimiza miaka 15 tangu aingie kwenye muziki wa Bongo Fleva na ngoma yake ya Julieta ambayo ilihit kwenye redio station zote za hapa nchin,baadaye zikaja Salome,Nyambizi na nyinginezo mpaka leo msanii huyo ameweza kuendelea kuwepo kwenye game ukizingatia ni msanii wa mwanzo wa muziki huo wa bongo fleva.Ndani ya miaka hiyo kumi na tano Dully ana miliki mijengo, ana watoto watatu, ana album mbili za Historia ya kweli 2002, pamoja na Handsome 2003,...

 

10 years ago

Bongo5

Kikwete: Wasanii wa Bongo Fleva wanatuliwaza kwa kuitangaza Tanzania pale tunapofanya madudu kwenye soka

Rais Jakaya Kikwete amesema wasanii wa muziki wa Bongo Fleva wameipeleka Tanzania mbali kwa kazi nzuri wanayoifanya na hivyo kuwaliwaza watanzania kwakuwa nchi bado inaendelea kufanya ‘madudu’ kwenye soka la kimataifa. Akihutubia bunge mjini Dodoma jioni hii, Kikwete amesema wasanii wanaliletea taifa heshima kubwa hivyo ni lazima wawezeshwe zaidi. Rais Kikwete amedai kuwa kwa kutambua […]

 

9 years ago

MillardAyo

Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha)

Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki magari makali Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]

The post Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

GPL

BONGO MOVIES TAYARI KUWAKABILI BONGO FLEVA KATIKA USIKU WA MATUMAINI 2014

Baadhi ya wasanii wa Bongo Movies kutoka kushoto ni Mwenyekiti wao Steve Nyerere, William Mtitu na Issa Mussa 'Cloud 112' baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam wakitokea Bagamoyo walipokwenda kujiwinda kwa ajili ya mechi yao dhidi ya Bongo Fleva leo katika Tamasha la Usiku wa Matumaini Uwanja wa Taifa jijini Dar.

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Asema Wasanii Wengi wa Bongo Movie Hawajieliwi, Tofauti na Bongo Fleva

Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa sababu  wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri zaidi yao

“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni  mbali  hatuna wivu wa kimaendeleo leo unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...

 

11 years ago

GPL

BONGO MOVIES WAJIFUA KUWAKABILI BONGO FLEVA USIKU WA MATUMAINI IJUMAA HII

Wasanii wa Bongo Movies wakijifua katika Viwanja vya Leaders jijini Dar jana jioni tayari kwa mpambano wao na Bongo Fleva keshokutwa Ijumaa. Mwenyekiti wa Bongo Movies, Steve Nyerere (katikati) akionyesha ujuzi wakati wa mazoezi hayo jana.…

 

11 years ago

GPL

NIGHT OF HOPE 2014: BONGO FLEVA 1, BONGO MOVIES 0

Mwanamuziki Ali Kiba akimtoka msanii wa Bongo Movies, Issa Mussa 'Cloud 112'. Mwanamuziki H-Baba akijaribu kuwatoka wachezaji wa Bongo Movies.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani