Ray: Hakuna Tena Ushindani Kwenye Filamu
Msanii mkongwe wa filamu nchini, Vicent Kigosi ‘Ray’ amesema baada ya kufariki Steven Kanumba tasnia ya filamu imekosa ushindani wa ndani na nje.
Akizungumza kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV, Ray alisema kazi yake na maisha yake vimetikisika kutokana na kukosa mshindani kama alivyokuwa Kanumba.
“Kwa upande wangu vitu vingi vimetikisika kwa sababu Kanumba ndio alikuwa mshindani wangu, kwenye maisha yangu ya kawaida na filamu,” alisema.
“Kanumba alikuwa akifanya hivi lazima na mimi...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo517 Sep
Ray adai hakuna tena ushindani kwenye filamu za Bongo
9 years ago
Mwananchi26 Sep
Hakuna RAy wa 'kutisha' bila Kanumba
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-I2bHlztVBQc/Vc5NuUK4vcI/AAAAAAAHw2s/BXzHvJfdprE/s72-c/unnamed%2B%252822%2529.jpg)
Waziri Mwandosya afanya ziara Tume ya Ushindani na Baraza la Ushindani
![](http://1.bp.blogspot.com/-I2bHlztVBQc/Vc5NuUK4vcI/AAAAAAAHw2s/BXzHvJfdprE/s640/unnamed%2B%252822%2529.jpg)
Tume ya Ushindani(Fair Competition Commission-FCC) imeanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Ushindani ya mwaka 2003. Madhumuni makubwa ya uwepo wa Tume ni kukuza na kulinda ushindani wa haki katika biashara na kumlinda mtumiaji wa...
10 years ago
Bongo Movies03 Mar
Ray Kutoa Milioni 1 Kwa Atayeleta Filamu ya V.I.P
MWIGIZAJI na Muongozaji mahiri wa filamu Vincent Kigosi ‘Ray’ ametangaza dau nono kwa kwa mtu yoyote anayedhibitisha kuwa filamu yake ya V.I.P kuwa imeigwa kutoka katika filamu yoyote kutoka nje ya nchi au ndani ya nchi mtu atayefanya hivyo atampatia milioni moja taslimu.
Ray alifikia hivyo baada ya mtu mmoja kuwashutumu wasanii wakubwa kuwa wamekuwa mabingwa wa kuiga filamu kutoka nje yaani (Copy and paste) wakati wakijadili filamu ya Mzee wa Swaga ya JB iliyoigwa kutoka katika moja ya...
10 years ago
Bongo Movies31 Mar
Ray Atoboa ya Moyoni Kuhusu Filamu ya OPRAH
“Ni kati ya movie ninazozipenda sana . pia naweza thubutu kusema ni movie iliyofanya mabadiliko makubwa sana kwenye film industry nchini kwetu Tanzania na nje ya mipaka yetu. pia ndiyo movie iliyomtangaza Irene Uwoya kwenye ulimwengu wa filamu. kwa hiyo nina kila sababu ya kuipenda movie hii. OPRAH HOT SUNDAY”. Ray ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya kasha la filamu hiyo.
Wewe kama mdau unamaoni gani juu ya kazi hii ya OPRAH iliyotoboa mipaka ya nchi?...
9 years ago
Bongo510 Oct
Queen Darleen ahofia kutoa nyimbo mpya kutokana na ushindani kwenye soko la muziki
10 years ago
Bongo Movies05 Jun
Ray Awashangaa Wanaodai Kanumba Ameondoka na Tasnia ya Filamu
Staa mkubwa wa Bongo Movies, Vicent Kigosi 'Ray' hivi juzi kati kupitia kukursa wake kwenye mtando picha wa Instagram amendika mtazamo juu ya tasnia ya filamu na wadau wote kwa ujumla.
Napenda kuchukua furrsa hii kuwashukuru wadau wote kwa michango na sapoti yenu iliyosaidia kuifikisha tasnia ya filamu hapa ilipo.
Bila nyinyi pengine hadithi ingekuwa tofauti leo kikubwa ni kujenga moyo wa kizalendo kwa wasanii wetu leo kuna misemo kila kona eti Kanumba kafa na tasnia imekufa, najaribu...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-kW3Ee2TzwBE/VDOn_UlviFI/AAAAAAADI38/_uBQj12umc0/s72-c/lady%2Bqueen%2B.jpg)