Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIMBO WA LADY QUEEN-HAKUNA TENA

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

9 years ago

Bongo5

Music: Lady Queen — In My Bed

Wimbo mpya wa msanii Lady Queen unaitwa “In My Bed” Producer Kitaa Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: Lady Queen Ft Enock Bella – Chunga Mzigo

Lady Queen 2

Hii ni Track mpya kutoka kwa Lady Queen amemshirikisha kijana Enock Bella kutoka (Yamoto Band), Wimbo unaitwa “Chunga Mzigo”. Producer Shirko.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

GPL

10 years ago

Bongo5

Lady Jaydee kuzindua wimbo na video ya ‘Forever’ Nov 28

Lady Jaydee atafanya uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya ‘Forever’ aliomshirikisha mdogo wake Dabo, November 28. Uzinduzi huo utafanyika M.O.G Bar & Restaurant (zamani Nyumbani Lounge), Kinondoni jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

LADY JAYDEE ASHINDA YA TUZO YA WIMBO BORA WA MWAKA

Staa wa muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura 'Lady Jaydee' au 'Jide. Wiki iliyopita zimetolewa tuzo za Bingwa Music Awards nchini Kenya, na Staa wa muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura 'Lady Jaydee' au 'Jide ndiye msanii pekee wa Tanzania aliyeondoka na tuzo. Wimbo wa ‘Yahaya’ wa Lady Jaydee ulichaguliwa kuwa Wimbo Bora wa Afrika Mashariki.
Hii ni orodha kamili ya washindi wa tuzo hizo:
Artist of the...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Jason Derulo afanya ‘live cover’ ya wimbo wa Fetty Wap ‘Trap Queen’

Muimbaji wa R&B, Jason Derulo amefanya cover ya ngoma ya rapper Fetty Wap ‘Trap Queen’ kwenye kipindi cha Live Lounge cha BBC Radio 1. Mtazame hapo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani