Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cassim adai kuzipa exclusive TV za nje kabla ya nyumbani si kitu kizuri

Mwenyekiti wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) Dr. Fatma Mrisho

Hitmaker wa Subira, Cassim Mganga amesema haoni kama ni ufahari kupeleka video yake ikaoneshwe kama exclusive kwenye vituo vya runinga vya nje na kuwaacha watanzania wengi wakisubiria.

Kassim Mganga

Akizungumza na Bongo5, Cassim amesema haoni uzito wa suala hilo kama ambavyo wengine wanavyolichukulia.

“Mimi na video yangu ya Subira nilisema nisianzie huko, kwanini mtu upate exclusive huko ndio uonekane kwamba wewe unakwenda kimataifa?” amehoji.

“Hata hapa nyumbani ni kimataifa vile vile wanaweza...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Watanzania walio nje washauriwa kurejea nyumbani kabla ya Jumamosi

"Watanzania walio nje ya nchi wabaki hukohuko ikizidi Jumamosi, watuache tupumue,"Hamad Rashid waziri wa Afya Zanzibar.

 

5 years ago

Michuzi

Meridianbet sasa inakuletea kitu kingine kizuri, kufurahia ubashiri

WAKATI Euro 2020 ikiwa imeahirishwa, Meridianbet sasa inakuletea kitu kingine kizuri zaidi wewe kuendelea kufurahia ubashiri. PES inakupa fursa nzuri ya kupata pesa kibao, ukiwa na Meridianbet unaweza kubashiri kwenye mechi kutoka vilabu vya vikubwa ulimwenguni na sasa – timu za taifa!
Bashiri matokeo ya mechi zako pendwa za PES zinazochezwa na wachezaji wa soka na timu halisi! Hizi tayari ni timu kubwa na majina makubwa ambayo tayari ulikuwa ukibashiri kabla.
Meridianbet.co.tz inakupa ofa...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Belle 9 adai waongozaji wa Bongo na location nzuri za nyumbani zinamshawishi kutofikiria kwenda kufanya video nje

_K0A1374Belle 9 anadhani Tanzania ina waongozaji wakali na location za kuvutia kufanya video za muziki kiasi ambacho haoni sababu ya kusafiri kwenda kufanya video zake nje ya nchi.  Muimbaji huyo aliyeachia video ya wimbo wake ‘Shauri Zao’ hivi karibuni, amesema uwezo wa waongozaji wa Tanzania akiwemo Hanscana unatosha kabisa kumpa video yenye ubora. Amesema kama […]

 

9 years ago

Bongo5

Cassim adai anaamini biashara ya album itarejea tena

Cassim Mganga amedai kuwa pamoja na biashara ya album kufa, dalili zinaonesha kuwa mbeleni itarejea tena. Cassim ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa wimbo mmoja ukiusimamia vizuri unaweza ukakulipa zaidi ya album. “Kama mwanamuziki lazima uwe na album lakini sasa hivi biashara ya album imekuwa ngumu sana. Watu wanapata pesa za kuendesha maisha kupitia shows. Kwahiyo […]

 

9 years ago

Bongo5

Cassim adai Babu Tale hakuwa ‘kiongozi’ wakati yupo Tip Top

12063201_825333404252455_334874297_nCassim Mganga amezungumza kwa kwanza sababu ya kuondoka Tip Top Connection ambapo amemtuhumu Babu Tale kuwa hakuwa kiongozi mzuri kwake. Cassim alikiambia kipindi cha Mkasi kuwa hakufurahishwa na maisha aliyoishi Tip Tip ndio maana aliamua kuondoka. “Toka nimeondoka Tip Top Tale hajawahi kuniletea deal hata moja,” alisema. “Kwenye familia yoyote hakukosi migogoro, mzazi usipokuwa strong […]

 

10 years ago

Vijimambo

AUNT EZEKIEL NA CASSIM MGANGA WATEMBELEA AFRICAN ROOM NYUMBANI KWA DR TEMBA

Aunt Ezekiel akiwa na Cassim Mganga Nyumbani kwa Dr Temba, Brooklyn, NY hapa wakipata ukodak ndani ya Africa Room.Kwa Picha zaidi bofyahttp://www.tembaphoto.com/index.php?sphoto=1

 

10 years ago

GPL

EXCLUSIVE: BAADA YA HUKUMU, CHEKA AFUNGUKA KILA KITU

Cheka akikabidhiwa ufunguo wa gari na Meya wa Ilala, Jerry Silaa baada ya pambano ambalo mshindi alipewa gari. Ibrahim Mussa na Mohammed Mdose
“BONDIA mahiri wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha kwenda jela miaka mitatu kutokana na kumshambulia aliyekuwa meneja wa baa yake, Bahati Kibanda ‘Masika’ tukio ambalo lilitokea Julai 2, mwaka jana...” Polisi (kushoto)...

 

9 years ago

Bongo5

Cyrill adai video na ngoma kali sio kila kitu kwa muziki wa sasa

kamikaze

Staa wa muziki Cyrill Kamikaze, amesema muziki wa sasa sio tu kufanya video kali na ngoma kali ili uweze kutoboa, bali unahitaji kutumia ubunifu zaidi kukidhi viwango vyenye ubora na kufikia soko la kimataifa.

kamikaze

Rapper huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Afica Radio kuwa watu wengi wanafikiri ukiwa na video nzuri ndio unafanikiwa.

“Unaweza ukawa na video kali halafu usihit, muziki ni zaidi ya chupa kali, ukirudishwa miaka fulani nyuma, ngoma kali ndio ilikuwa inahit, lakini sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani