Alikiba adai album yake Cinderella iliuza kopi milioni 2
Hitmaker wa Chekecha Cheketua, Alikiba amesema album yake ya kwanza, Cinderella ilivunja rekodi na kuuza ‘double platinum’ (nakala milioni mbili).
Akizungumza katika kipindi cha XXL cha Clouds FM, Alikiba alisema mpaka leo hajasikia kama rekodi hiyo imevunjwa.
“Kiukweli album yangu ya kwanza ya Cinderella ndio ilivunja rekodi na sijasikia mpaka leo kama rekodi hiyo imevunjwa,” alisema. “Sijui (nakala) ni milioni mbili vile, kitu kama hicho, kila album ilikuwa inauzwa mia mbili,” alisema...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo520 Nov
Album ya Flavour ‘Thankful’ yauza kopi milioni 1 ndani ya siku 5!
10 years ago
Bongo513 Nov
Tyga atangaza tarehe ya kuachia album yake mpya ‘The Gold Album’
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
Alikiba adai hajaishiwa
STAA wa Bongo fleva nchini, Ally Kiba ‘Alikiba’, amesema kukaa kwake kimya katika ‘game’ sio kwamba ameishiwa, amejaribu kuwaachia wenzie wafanye kazi na kwamba anatumia muda huo kulisoma soko la...
9 years ago
Bongo516 Dec
Alikiba adai ‘Chekecha’ imekuwa dhahabu kwake
Alikiba amedai kuwa wimbo wake, ‘Chekecha Cheketua’, ndio wimbo uliopokewa vizuri kuliko nyimbo zake zote alizowahi kutoa.
Muimbaji huyo ambaye pia ni balozi wa shirika la kimaifa la WildAid, ameiambia BBC kuwa wimbo huo uliweza kuhit ndani ya siku moja.
“Nyimbo yangu ya ‘Chekecha’ jinsi ilivyopokewa haijawahi kutokea katika maisha yangu ya kimuziki toka naanza. Chekecha kiukweli ilichukua siku moja kuhit,” alisema.
Katika mahojiano hayo pia Kiba aliulizwa kuhusu mpango wake wa kujitanua...
9 years ago
Bongo523 Oct
Cassim adai anaamini biashara ya album itarejea tena
10 years ago
Bongo512 Dec
Nyimbo 2 za Nicki Minaj zavuja siku chache kabla ya album yake kutoka, moja ni collabo yake na Beyonce (zisikilize)
9 years ago
Bongo513 Oct
Aslay adai asilimia 60 ya mafanikio yake yametokana na marehemu mama yake
9 years ago
Bongo504 Dec
Keko aitaka lebo yake, Sony Music Africa imwachie aende, adai imekwamisha mambo yake
Rapper wa Uganda, Keko anaitaka lebo yake, Sony Music Africa imwachie aende zake.
Rapper huyo Ijumaa hii ametoa malalamiko yake kupitia Twitter kwa madai kuwa hajawahi kuwa na furaha kwenye mkataba huo wa miaka minne sasa.
Amedai kuwa Sony wamekuwa wazito kuachia nyimbo zake na hivyo kuwaangusha mashabiki wake.
“Nadhani ni bora kwa mashabiki niondoke Sony,” ameandika.
Hivi ndivyo alivyoandika:
I want @SonyMusicAfrica to release me from that contract because I’ve clearly been unhappy close...
9 years ago
Bongo519 Nov
Exclusive: Sauti Sol waeleza kwanini hawajaweka collabo walizorekodi na Alikiba, Vanessa Mdee na Joh Makini kwenye album yao mpya
Kundi la Sauti Sol kutoka Kenya wiki hii wametoa cover pamoja na orodha ya nyimbo zitakazokuwemo kwenye album yao mpya, ‘Live And Die In Afrika’ itakayozinduliwa kwa vyombo vya habari Ijumaa ya Novemba 20.
Baada ya mimi binafsi kuiona ‘tracklist’ ya album hiyo yenye nyimbo 15, nilipata maswali kuhusu kwanini hawajaweka nyimbo walizowashirikisha wasanii wa Tanzania kwenye album yao.
Katika mahojiano waliyofanya na kipindi cha Mseto cha Radio Citizen na Willy M.Tuva mwezi August, 2015,...