Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Alikiba adai ‘Chekecha’ imekuwa dhahabu kwake

12120276_163762000643678_1906855536_n

Alikiba amedai kuwa wimbo wake, ‘Chekecha Cheketua’, ndio wimbo uliopokewa vizuri kuliko nyimbo zake zote alizowahi kutoa.

12120276_163762000643678_1906855536_n

Muimbaji huyo ambaye pia ni balozi wa shirika la kimaifa la WildAid, ameiambia BBC kuwa wimbo huo uliweza kuhit ndani ya siku moja.

“Nyimbo yangu ya ‘Chekecha’ jinsi ilivyopokewa haijawahi kutokea katika maisha yangu ya kimuziki toka naanza. Chekecha kiukweli ilichukua siku moja kuhit,” alisema.

Katika mahojiano hayo pia Kiba aliulizwa kuhusu mpango wake wa kujitanua...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Alikiba adai hajaishiwa

STAA wa Bongo fleva nchini, Ally Kiba ‘Alikiba’, amesema kukaa kwake kimya katika ‘game’ sio kwamba ameishiwa, amejaribu kuwaachia wenzie wafanye kazi na kwamba anatumia muda huo kulisoma soko la...

 

5 years ago

Michuzi

MWIJAKU ADAI NASEEB JR NI WA KWAKE


Na.Khadija seif, Michuzi tv

MSEMAJI wa mitandaoni na msanii wa tamthilia Ally a.k.a MWIJAKU amewataka wasanii na watu wenye michango katika jamii kushukuru na kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa covid 19 (Corona).

Akizungumza na waandishi wahabari jijini Dar es salaam Mwijaku amesema ugonjwa umepoteza watu kadhaa ,lakini serikali imeendelea kutoa tahadhari jinsi ya kujikinga na ugonjwa huo.

"Rais wetu Magufuli amekua mstari wa mbele kuhakikisha...

 

9 years ago

Bongo5

Alikiba adai album yake Cinderella iliuza kopi milioni 2

12120276_163762000643678_1906855536_n

Hitmaker wa Chekecha Cheketua, Alikiba amesema album yake ya kwanza, Cinderella ilivunja rekodi na kuuza ‘double platinum’ (nakala milioni mbili).

12120276_163762000643678_1906855536_n

Akizungumza katika kipindi cha XXL cha Clouds FM, Alikiba alisema mpaka leo hajasikia kama rekodi hiyo imevunjwa.

“Kiukweli album yangu ya kwanza ya Cinderella ndio ilivunja rekodi na sijasikia mpaka leo kama rekodi hiyo imevunjwa,” alisema. “Sijui (nakala) ni milioni mbili vile, kitu kama hicho, kila album ilikuwa inauzwa mia mbili,” alisema...

 

9 years ago

Bongo5

Sugu adai matarajio kuwa angesaidia wasanii ilikuwa changamoto kubwa kwake

Mbunge wa Mbeya mjini anayetetea kiti chake kwenye uchaguzi wa mwaka huu, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi, amezitaja changomoto mbili alizokutana nazo wakati alipoingia bungeni kama msanii wa muziki. Sugu ameiambia BBC kuwa moja ya changamoto ni kuonekana kama mkombozi wa wasanii wakati hawakumsaidia chochote alipoingia bungeni. “Changamoto moja wapo ni ile hali ya baadhi ya wasanii […]

 

9 years ago

Bongo5

Akon adai hajutii kuacha kumsainisha Drake kwenye label yake alipotambulishwa kwake mwaka 2005

Kama angemwelewa vyema, leo hii Drake angekuwa msanii wa Akon kupitia label yake ya Konvict Music, lakini hakushawishiwa na uwezo wake kipindi hicho. Ilikuwa ni mwaka 2005 pindi rapper wa Canada, Kardinal Offishall alimpompelekea Akon nyimbo za Drake kuona kama anaweza kumchukua. Hata hivyo Akon hakukikubali kipaji cha Drake kama alivyovutiwa na T-Pain na Lady […]

 

10 years ago

GPL

NALE: KUDANGANYA UMRI IMEKUWA FASHENI

Makala: SHANI RAMADHANI
KATIKA Live Chumba cha Habari cha Global Publishers, leo hii tunaye Miss Universe 2014, Nale Boniface ambaye ameweka wazi siri ya urembo na kusema kuwa kujiamini ni sifa mojawapo ya kumfanya mtu aitangaze vizuri nchi yake. Presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa akiongea na mwakilishi wa Miss Universe Tanzania 2014,… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Bajeti yetu imekuwa ya mazoea mno

Zamani siku kama ya leo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu sana kwa kuwa ni siku ambayo wananchi walisikia mengi kuhusu bei za bidhaa na vitu vingine vinavyotoa mwelekeo wa maisha ya kila siku.

 

10 years ago

Mwananchi

Hii sasa imekuwa nchi ya dharura

>Wakati tukiwa shule ya msingi, tulisikia kila mara wakubwa zetu wakimtaja Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kwa jina la Musa. Walielezea kuwa jina hilo lilitokana hasa na jinsi Raisn huyo wa Serikali ya Awamu ya Kwanza alivyozoea kushika fimbo kila alipoonekana hadharani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sera ya Kilimo Kwanza imekuwa kitendawili

TANGU Tanzania ipate Uhuru mwaka 1961 kuna sera mbalimbali za kilimo zimekuwa zikitolewa ili kukiendeleza na hatimaye kuondoa umaskini kwa Watanzania. Miongoni mwa sera hizo ni Siasa ni Kilimo, Kilimo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani