Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWIJAKU ADAI NASEEB JR NI WA KWAKE


Na.Khadija seif, Michuzi tv

MSEMAJI wa mitandaoni na msanii wa tamthilia Ally a.k.a MWIJAKU amewataka wasanii na watu wenye michango katika jamii kushukuru na kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa covid 19 (Corona).

Akizungumza na waandishi wahabari jijini Dar es salaam Mwijaku amesema ugonjwa umepoteza watu kadhaa ,lakini serikali imeendelea kutoa tahadhari jinsi ya kujikinga na ugonjwa huo.

"Rais wetu Magufuli amekua mstari wa mbele kuhakikisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Alikiba adai ‘Chekecha’ imekuwa dhahabu kwake

12120276_163762000643678_1906855536_n

Alikiba amedai kuwa wimbo wake, ‘Chekecha Cheketua’, ndio wimbo uliopokewa vizuri kuliko nyimbo zake zote alizowahi kutoa.

12120276_163762000643678_1906855536_n

Muimbaji huyo ambaye pia ni balozi wa shirika la kimaifa la WildAid, ameiambia BBC kuwa wimbo huo uliweza kuhit ndani ya siku moja.

“Nyimbo yangu ya ‘Chekecha’ jinsi ilivyopokewa haijawahi kutokea katika maisha yangu ya kimuziki toka naanza. Chekecha kiukweli ilichukua siku moja kuhit,” alisema.

Katika mahojiano hayo pia Kiba aliulizwa kuhusu mpango wake wa kujitanua...

 

9 years ago

Bongo5

Sugu adai matarajio kuwa angesaidia wasanii ilikuwa changamoto kubwa kwake

Mbunge wa Mbeya mjini anayetetea kiti chake kwenye uchaguzi wa mwaka huu, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi, amezitaja changomoto mbili alizokutana nazo wakati alipoingia bungeni kama msanii wa muziki. Sugu ameiambia BBC kuwa moja ya changamoto ni kuonekana kama mkombozi wa wasanii wakati hawakumsaidia chochote alipoingia bungeni. “Changamoto moja wapo ni ile hali ya baadhi ya wasanii […]

 

9 years ago

Bongo5

Akon adai hajutii kuacha kumsainisha Drake kwenye label yake alipotambulishwa kwake mwaka 2005

Kama angemwelewa vyema, leo hii Drake angekuwa msanii wa Akon kupitia label yake ya Konvict Music, lakini hakushawishiwa na uwezo wake kipindi hicho. Ilikuwa ni mwaka 2005 pindi rapper wa Canada, Kardinal Offishall alimpompelekea Akon nyimbo za Drake kuona kama anaweza kumchukua. Hata hivyo Akon hakukikubali kipaji cha Drake kama alivyovutiwa na T-Pain na Lady […]

 

11 years ago

Mwananchi

Naseeb Abdul (Diamond): Starehe lina mchango mkubwa katika maisha yangu

Nyota huyu wa muziki nchini, aliandikwa gazetini kwa mara ya kwanza katika Jarida la Starehe. Huo ulikuwa mwaka 2007 wakati akitambulisha wimbo wake Kamwambie.

 

10 years ago

CloudsFM

Mtoto wa Diamond Latiffah Naseeb Abdul Aanza Maisha ya Ustaa Akiwa Hajamaliza Hata Siku Tangu Azaliwe

Latiffah aka Tiffah hajamaliza hata siku moja lakini tayari ni staa si tu kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari bali hata kwenye midomo ya watu wanaofuatilia burudani barani Afrika.

Wazazi wake mwenyewe wanamuita ‘The Next Most Famous Daughter in Africa.’ Kwa ukubwa wa Diamond Platnumz na mama yake Zari Ttale, hakuna ubishi kuwa Tiffah ana kila sifa ya kuja kuwa ‘binti maarufu zaidi barani Afrika.

Ikiwa ni saa chache tu tangu kuzaliwa kwake, akaunti yake ya Instagram iliyofunguliwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani