Mtoto wa Diamond Latiffah Naseeb Abdul Aanza Maisha ya Ustaa Akiwa Hajamaliza Hata Siku Tangu Azaliwe
Latiffah aka Tiffah hajamaliza hata siku moja lakini tayari ni staa si tu kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari bali hata kwenye midomo ya watu wanaofuatilia burudani barani Afrika.
Wazazi wake mwenyewe wanamuita ‘The Next Most Famous Daughter in Africa.’ Kwa ukubwa wa Diamond Platnumz na mama yake Zari Ttale, hakuna ubishi kuwa Tiffah ana kila sifa ya kuja kuwa ‘binti maarufu zaidi barani Afrika.
Ikiwa ni saa chache tu tangu kuzaliwa kwake, akaunti yake ya Instagram iliyofunguliwa...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Naseeb Abdul (Diamond): Starehe lina mchango mkubwa katika maisha yangu
9 years ago
Bongo520 Sep
Picha: Huyu ndio Latiffah Nasibu Abdul
10 years ago
Mwananchi29 Mar
Fahamu jinsi haiba ya mtu inavyojengeka tangu akiwa angali mtoto
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XkRrFz4ymKmKf0kkdyEuS87qxop2Sg-2w-s-70HQY4*SrBNfCyMVeWtWEDRUJYlwFzkaST-gWeyy8JpgQRGnZLzdsB0L8GWe/diamond.jpg?width=650)
DIAMOND AANZA MAANDALIZI KWA AJILI YA MTOTO WAKE WA KIKE
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/QzsHbbnRvTs/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies14 Feb
PICHA: Timbwili Mitandaoni, Diamond Akiwa na Zari Huku Wema Akiwa na Ommy
Kweli mafahari wikigombana nyasi ndio uumia! Picha za mwanamziki Diamond akiwa na mpenzi wake Zari wakiwa ndani ya gari alizoziweka mtandao usiku wa kuamkia leo siku ya wapendanao na kuandika kwa maneno ya lugha ya kingreza kuwa wanaelekea siku ya Valentine “Road to Valentine...”
Zilizua timbwili la maneno miongoni mwa mashabiki wa Diamond ambao walikuwa wakisifia “Project hii” na wale wa Wema aka TeamWema walikuwa wakiponda na kumshabulia sana mwanadada Zari ikiwemo kumuiga mtindo wa...
9 years ago
Bongo503 Dec
Video: Harmonize autafuta ustaa kwa njia alizopitia bosi wake Diamond?
![12317459_411872465678262_2113634085_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12317459_411872465678262_2113634085_n-300x194.jpg)
Tunajua kuwa Diamond ni msanii mwenye kipaji, anayejituma na nidhamu yake ya kazi inaweza kuhamisha milima, lakini hakuna anayeweza kubisha kuwa uhusiano wake na wasichana maarufu ulimsaidia kumpa jina.
Jacqueline Wolper, Wema Sepetu, Jokate, Zari na wengine ambao hatukuwahi kuthibitisha, wamelijenga zaidi jina lake, na of course, yeye pia amewapa fursa hiyo pia.
Inaonekana kuwa Harmonize anaanza kutumia njia za bosi wake pia kutafuta tobo.
Hivi karibuni muimbaji huyo wa Aiyola amekuwa...
9 years ago
Bongo503 Nov
Wema Sepetu: Nasib Abdul angekuwa mume wangu wa maisha
![wpid-wema-akiwa-pembeni-kumsupport-diamond1.jpg](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/08/wpid-wema-akiwa-pembeni-kumsupport-diamond1-200x151.jpg)
Jina la Nasib Abdul bado halijatoka kichwani mwa Wema Sepetu!
Nasib Abdul ni jina halisi la Diamond Platnumz.
Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 na muigizaji wa filamu alikuwa akijibu swali kwenye kipindi cha Hitzone kupitia kituo cha redio cha Jembe FM cha jijini Mwanza alipoulizwa ni mwanaume gani ambaye alitamani awe mume wake wa ndoa.
“Ni yupi ambaye niliwahi kusema huyu anaweza kuwa wa maisha,” alisema Wema. “Kiukweli alikuwa anaitwa Nasib Abdul,nilishawahi kusema hivyo,”...