Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Huyu ndio Latiffah Nasibu Abdul

Diamond Platnumz na Zari Hassan wamemuonesha mtoto wao Latiffah kwa mara ya kwanza Jumapili. Tiffah Mastaa hao wamesherehekea siku 40 tangu kuzaliwa kwa mtoto huyo maarufu kwa kualika marafiki na watu wa karibu kwenye hafla iliyofanyika kwenye makazi yao, wanayoyaita State House. Mastaa mbalimbali wamehudhuria hafla hiyo ya kumtoa hadharani kwa mara ya kwanza mtoto […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Mtoto wa Diamond Latiffah Naseeb Abdul Aanza Maisha ya Ustaa Akiwa Hajamaliza Hata Siku Tangu Azaliwe

Latiffah aka Tiffah hajamaliza hata siku moja lakini tayari ni staa si tu kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari bali hata kwenye midomo ya watu wanaofuatilia burudani barani Afrika.

Wazazi wake mwenyewe wanamuita ‘The Next Most Famous Daughter in Africa.’ Kwa ukubwa wa Diamond Platnumz na mama yake Zari Ttale, hakuna ubishi kuwa Tiffah ana kila sifa ya kuja kuwa ‘binti maarufu zaidi barani Afrika.

Ikiwa ni saa chache tu tangu kuzaliwa kwake, akaunti yake ya Instagram iliyofunguliwa...

 

11 years ago

GPL

NASIBU ABDUL ‘DIAMOND’ KATIKA POZI

Mshindi wa tuzo saba za KTMA Nasibu Abdul ‘Diamond’ katika pozi.

 

10 years ago

GPL

NASIBU ABDUL ALISHAFANYA VIBARUA ILI APATE FEDHA YA CHAKULA

Na Mwandishi Wetu ANAITWA Nasibu Abdul au maarufu kwa jina la Diamond. Alizaliwa saa kumi na moja jioni ya Oktoba 2, 1989 katika Hospitali ya Amana iliyopo Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Wazazi wake walimpa jina la Nasibu wakiamini ni la bahati. Mkali wa Bongo fleva, Nasibu Abdul au maarufu kwa jina la Diamond akipozi. Diamond aliongea hivi karibuni na safu hii ya Mjue Huyu ambapo aliweka wazi mambo mengi ya maisha yake....

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Huyu ndio msanii wa Kenya aliyemshirikisha Diamond baada ya Victoria Kimani

Collabo ya mwisho ya Diamond Platnumz na msanii wa Kenya ni ile aliyoshirikishwa na Victoria Kimani kwenye wimbo Prokoto alikuwemo Ommy Dimpoz pia. Akothee na Diamond wakiwa studio Baada ya hapo, Diamond amekuwa akifanya ngoma na wasanii wa Nigeria, Afrika Kusini na Marekani zaidi. Hata collabo na wasanii wenzake wa Bongo zimekuwa za nadra pia […]

 

10 years ago

Vijimambo

NASIBU ABDUL "DIAMOND" ALISHAFANYA VIBARUA ILI APATE FEDHA YA CHAKULA

Na Mwandishi Wetu GPL
ANAITWA Nasibu Abdul au maarufu kwa jina la Diamond. Alizaliwa saa kumi na moja jioni ya Oktoba 2, 1989 katika Hospitali ya Amana iliyopo Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Wazazi wake walimpa jina la Nasibu wakiamini ni la bahati.

Diamond aliongea hivi karibuni na safu hii ya Mjue Huyu ambapo aliweka wazi mambo mengi ya maisha yake. Diamond akiwa hajapata ufahamu, yaani bado mdogo, wazazi wake walitengana kwa sababu ambazo bado hazijawa wazi na baba yake kumuacha na...

 

10 years ago

Vijimambo

Zari Hassan kufunga ndoa na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, "Asema hakuna umri maalumu wa Kuoa au Kuolewa"!

WAKATI mama mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kasim ‘Sandra’ akiwa nchini India kwa matibabu ya tatizo la kiafya linalodaiwa kuwa ni kupooza, hapa Bongo dalili za Diamond na mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’ au The Boss Lady kufunga ndoa zinanukia. Chanzo makini kimeliambia Ijumaa Wikienda kwamba, licha ya mama Diamond kupelekwa India Januari 27, mwaka huu na msafara wa watu wawili, nyuma, Zari alitua Bongo tangu Januari 30, mwaka huu lengo kubwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,huyu ndio mwanamke mrembo duniani?

Nyota huyo wa filamu mwenye umri wa miaka 50 ametangazwa na gazeti la People magazine kama chaguo lake la mwaka 2015.

 

10 years ago

Bongo Movies

Shilole: Huyu Ndio Mwanaume wa Maisha Yangu

Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Shilole leo mtandaoni ameibuka na mtandaona na kuweka wazi kuwa mchumba wake Nuh Mziwanda ndio mwanaume wa maisha yake.

“Huyu nilienae pembeni yangu ndo baba yangu rafiki yangu faraja yangu ya moyo na anajua umuhimu wangu kuliko mtu yeyote yupo na mimi bega kwa bega ninapokuwa na furaha nahata ninapokuwa na majonzi mimi naweza sema ndo mwanaume wa maisha yangu naomba Mungu asije badilika nitaumia sana.Nampenda sana huyu mtu nyinyi mnamuta Nuh mimi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani