Video: Harmonize autafuta ustaa kwa njia alizopitia bosi wake Diamond?
Tunajua kuwa Diamond ni msanii mwenye kipaji, anayejituma na nidhamu yake ya kazi inaweza kuhamisha milima, lakini hakuna anayeweza kubisha kuwa uhusiano wake na wasichana maarufu ulimsaidia kumpa jina.
Jacqueline Wolper, Wema Sepetu, Jokate, Zari na wengine ambao hatukuwahi kuthibitisha, wamelijenga zaidi jina lake, na of course, yeye pia amewapa fursa hiyo pia.
Inaonekana kuwa Harmonize anaanza kutumia njia za bosi wake pia kutafuta tobo.
Hivi karibuni muimbaji huyo wa Aiyola amekuwa...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo521 Oct
Video ya msanii wa Diamond, Harmonize yashootiwa Afrika Kusini na imekamilika
9 years ago
Bongo505 Jan
Picha: Harmonize achora tattoo ya picha ya boss wake Diamond na kuandika ‘Simba’
![h n d](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/h-n-d-300x194.jpg)
Msanii wa label ya WCB anayekuja juu kwa sasa, Harmonize ameamua kuuthibitishia ulimwengu kuwa anajivunia kuwa mtoto wa kimuziki wa staa wa Tanzania, Diamond Platnumz kwa kuchora tattoo yenye picha yake na kuandika a.k.a ya Boss wake iliyozua utata hivi karibuni ‘Simba’.
Hiki ndicho alichokiandika Harmonize kwenye picha aliyoipost Instagram kuelezea sababu za kuchora tattoo hiyo:
“Katika Maisha Yangu Sikuwahi Kuwaza Kuwa Itatokea Siku Nikajichora Tatoo But Diamond Nimtu Mwenye Mchango...
10 years ago
GPL19 Apr
VIDEO: HAUSIGELI ANASWA AKIMNYONYESHA MTOTO WA BOSI WAKE KENYA
11 years ago
Uhuru Newspaper07 Aug
Ofisa Usalama kizimbani kwa mauaji ya bosi wake
NA FURAHA OMARY
OFISA Usalama wa Taifa, Mohammed Kazembe, anayetuhumiwa kumuua bosi wake, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa shitaka la mauaji, akiwa hoi hajiwezi.
Kazembe (33), alifikishwa mahakamani hapo jana asubuhi, akiwa amebebwa na watu wawili huku mguu wake wa kushoto ukiwa umefungwa bandeji kutoka kwenye kisigino hadi ugokoni na mkononi alikuwa na njia ya kuwekea dripu ya maji.
Mshitakiwa huyo, mkazi wa Mwananyamala, ambaye hakuwa na uwezo wowote wa...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/WLDrVkQ1qFVDIa4BxPftMl2sFO-chwj5l*feRqMToTavTkfsI9IkMy6WO8Hv7lFoOeOXZNFcLZ7rv8*o9KxN1iCVgB-5ehC6/Derevaz.jpg?width=650)
DEREVA ALIYEUAWA KWA RISASI NA BOSI WAKE, ALIYESHUHUDIA ATOBOA SIRI
11 years ago
Dewji Blog11 Aug
Binti wa kazi ajeruhiwa vibaya kwa kumwagiwa uji wa moto na mke wa bosi wake, kisa wivu wa kimapenzi
Msichana Jackline Lasway akiwa amelazwa katika wodi ya kina mama namba mbili katika hospitali ya Mkoa wa Singida baada ya kujeruhiwa kwa kumwagiwa uji wa moto wakati akiwa dukani kwa bosi wake eneo la soko kuu Manispaa ya Singida.
Na Mwandishi Wetu , Singida.
Msichana mmoja mkazi wa eneo la Minga Manispaa ya Singida amenusurika kifo baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa tajiri wake wa dukani kutokana na kile kinachosadikiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
Msichana huyo Jackline Lasway...
9 years ago
Bongo527 Oct
Video: Kionjo cha video mpya ya Harmonize ‘Aiyola’
10 years ago
CloudsFM07 Aug
Mtoto wa Diamond Latiffah Naseeb Abdul Aanza Maisha ya Ustaa Akiwa Hajamaliza Hata Siku Tangu Azaliwe
![](http://1.bp.blogspot.com/-Ag3NIa_-t2M/VcRE35OqZnI/AAAAAAAAzBM/LWpTy8p1hZ0/s400/lafifa.jpg)
Latiffah aka Tiffah hajamaliza hata siku moja lakini tayari ni staa si tu kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari bali hata kwenye midomo ya watu wanaofuatilia burudani barani Afrika.
Wazazi wake mwenyewe wanamuita ‘The Next Most Famous Daughter in Africa.’ Kwa ukubwa wa Diamond Platnumz na mama yake Zari Ttale, hakuna ubishi kuwa Tiffah ana kila sifa ya kuja kuwa ‘binti maarufu zaidi barani Afrika.
Ikiwa ni saa chache tu tangu kuzaliwa kwake, akaunti yake ya Instagram iliyofunguliwa...
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Kama ulimis kilichofanywa na Alikiba, Diamond na Harmonize kwenye stage Xmas hii !
Mastaa wengi wa bongofleva wamepiga show kwenye area tofauti Xmas hii, nilizoweza kukurekodia ni hizi pia ikiwemo ya msanii kutoka lebo ya Diamond >> Harmonize, nyingine ni ya Diamond mwenyewe Dar live Mbagala Dar es salaam na ya Alikiba Escape One Mikocheni Dar es salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard […]
The post Kama ulimis kilichofanywa na Alikiba, Diamond na Harmonize kwenye stage Xmas hii ! appeared first on TZA_MillardAyo.