Picha: Harmonize achora tattoo ya picha ya boss wake Diamond na kuandika ‘Simba’
Msanii wa label ya WCB anayekuja juu kwa sasa, Harmonize ameamua kuuthibitishia ulimwengu kuwa anajivunia kuwa mtoto wa kimuziki wa staa wa Tanzania, Diamond Platnumz kwa kuchora tattoo yenye picha yake na kuandika a.k.a ya Boss wake iliyozua utata hivi karibuni ‘Simba’.
Hiki ndicho alichokiandika Harmonize kwenye picha aliyoipost Instagram kuelezea sababu za kuchora tattoo hiyo:
“Katika Maisha Yangu Sikuwahi Kuwaza Kuwa Itatokea Siku Nikajichora Tatoo But Diamond Nimtu Mwenye Mchango...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo504 Sep
Shilole naye achora Tattoo ya jina la mpenzi wake Nuh Mziwanda (Picha)
9 years ago
Bongo526 Oct
Picha: Blac Chyna athibitisha kuwa na uhusiano na Future? Achora tattoo ya jina la rapper huyo mkononi
10 years ago
Bongo509 Nov
Picha: Diamond na Zari the Boss Lady wafanya kweli!
10 years ago
VijimamboBIG BOSS LADY ZARI AWEKA PICHA AKIWA NA MAMA YAKE PAMOJA NA MDOGO WAKE
10 years ago
Africanjam.Com23 Jun
PICHA: TAZAMA PICHA ZA ZINEDINE ZIDANE ENZI ZA UTOTO/UJANA WAKE
![2](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/224.jpg)
![1](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/132.jpg)
![3](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/317.jpg)
![enzo](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/enzo.jpg)
![kombe](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/kombe.jpg)
![zizi](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/zizi.jpg)
9 years ago
Bongo525 Aug
Picha: Davido a-share picha mpya za mtoto wake wa kike zinazomuonesha vizuri sura
10 years ago
Bongo526 Aug
M2 The P achora tattoo mpya ya Mangwea, asema amefunga ukurasa wa kumzungumzia
9 years ago
Bongo Movies06 Jan
Picha Hii ya Diamond na Mtoto wake Tiffah Yawa Gumzo
Picha hii ya mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz akiwa amem-kiss mtoto wake Tiffah yazua mjadala kwenye mtandao wa instagram.
Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ ndiye aliyeiweka picha hiikwenye ukurasa wake mtandaoni humo na kuandika “Simply adorable”
Picha ambayo baadhi ya mashabiki walionyeshwa kutopendezewa nayo kwa madai kuwa kiss hilo limevuka mipaka na haipendezi kuwekwa mtandaoni huku wengine wakionekana kuona ipo sawa na inaonyesha ni kwajinsi gani Diamond anavyompenda motto wake...
9 years ago
MillardAyo01 Jan
Picha 25 Harmonize wa ‘Aiyola’ alivyowaacha hoi wakazi wa Dodoma
Mkali wa hit singo ya ‘Aiyola‘ kutokea Wasafi Classic Baby (WCB) Harmonize usiku wa Dec 31 aliidondosha burudani kwa wakazi wa Dodoma kwa mara ya kwanza tangu ametambulika na mashabiki katika soko la muziki. Licha ya kufanya bonge la show, pia alitumia nafasi hiyo kutoa baadhi ya zawadi kwa wapenzi na mashabiki wake ambao walifika katika […]
The post Picha 25 Harmonize wa ‘Aiyola’ alivyowaacha hoi wakazi wa Dodoma appeared first on TZA_MillardAyo.