Picha: Blac Chyna athibitisha kuwa na uhusiano na Future? Achora tattoo ya jina la rapper huyo mkononi
Kumekuwepo na tetesi kuwa mama wa mtoto wa rapper Tyga, Blac Chyna ameingia kwenye ukurasa mpya wa mapenzi na rapper Future ambaye pia ni baba wa mtoto wa mwimbaji wa RnB, Ciara ambaye waliachana. Blac Chyna ameziongezea nguvu tetesi hizo baada ya kuchora tattoo yenye jina la ‘Future’ kwenye mkono wake na kushare picha hiyo […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo528 Oct
Future akanusha tetesi za kuwa na uhusiano na Blac Chyna!
9 years ago
Bongo504 Sep
Shilole naye achora Tattoo ya jina la mpenzi wake Nuh Mziwanda (Picha)
9 years ago
Bongo505 Jan
Picha: Harmonize achora tattoo ya picha ya boss wake Diamond na kuandika ‘Simba’
![h n d](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/h-n-d-300x194.jpg)
Msanii wa label ya WCB anayekuja juu kwa sasa, Harmonize ameamua kuuthibitishia ulimwengu kuwa anajivunia kuwa mtoto wa kimuziki wa staa wa Tanzania, Diamond Platnumz kwa kuchora tattoo yenye picha yake na kuandika a.k.a ya Boss wake iliyozua utata hivi karibuni ‘Simba’.
Hiki ndicho alichokiandika Harmonize kwenye picha aliyoipost Instagram kuelezea sababu za kuchora tattoo hiyo:
“Katika Maisha Yangu Sikuwahi Kuwaza Kuwa Itatokea Siku Nikajichora Tatoo But Diamond Nimtu Mwenye Mchango...
10 years ago
Mtanzania19 May
Blac Chyna: Nimekusamehe Tyga ila kuwa makini
BADI MCHOMOLO NA MTANDAO
LICHA ya mgogoro wa muda mrefu kati ya msanii kutoka kundi la Young Money, Michael Stevenson ‘Tyga’ na mpenzi wake wa zamani, Blac Chyna, wawili hao wamesameheana ili walee mtoto wao.
Tyga baada ya kuachana na mrembo huyo ambaye alizaa naye mtoto mmoja, aliamua kutoka na mdogo wake Kim Kardashian, Kylie Jenner, lakini msanii huyo alikuwa akimkumbuka mama mtoto wake hivyo akamtaka warudiane lakini mwana dada huyo aligoma.
Juzi mwanamitindo huyo alimsamehe mwenzake....
9 years ago
Bongo527 Oct
Tyga kwa Future: Unaweza kumchukua Blac Chyna, nina demu mkali zaidi kwa sasa (Kylie Jenner)
9 years ago
Bongo520 Nov
Video: Future amtumia Blac Chyna kwenye video mpya ‘Rich $ex’, aitoa kwenye birthday ya Tyga
![future na Chyna](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/future-na-Chyna-300x194.png)
Rapper Future ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Rich $ex’, na kwenye video hiyo amemtumia Blac Chyna kama mpenzi wake.
Japo kuwa Future ambaye ni ex na baby dady wa Ciara na Chyna ambaye ni ex na baby mama wa Tyga wamekuwa wakikanusha kuwa sio wapenzi, lakini video hii inalazimisha kuamini kuwa wanatoka.
Kingnie cha kushangaza ni hiki, October 25 ambayo ni siku aliyozaliwa Ciara, ndio siku ambayo Blac Chyna alionesha tattoo ya jina la Future mkononi na kufanya watu waamini kuwa ni...
10 years ago
Bongo501 Jan
Vanessa Mdee athibitisha uhusiano na Jux kwa picha hii?
9 years ago
Bongo510 Oct
Picha: Shilole aonesha tattoo mpya ya jina la ‘Nuh’ aliyochora kifuani