Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tyga kwa Future: Unaweza kumchukua Blac Chyna, nina demu mkali zaidi kwa sasa (Kylie Jenner)

Tyga hana tatizo na Future ambaye inadaiwa ana uhusiano na ‘baby mama’ wake Blac Chyna kwakuwa ana msichana mrembo zaidi kwa sasa – Kylie Jenner. Kulikuwepo na tetesi kuwa wawili hao waliowahi kushirikiana kwenye ngoma moja, Show You, wametofautiana kufuatia hatua hiyo kwa Future kuamua kuvunja masharti ya ‘ushkaji’ ya kuanza kutembea na shemeji yake […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Tyga apanga kumchukua mwanae kutoka kwa Blac Chyna akidai mama yake anakula bata 24/7

Tyga anadhani Blac Chyna hana uwezo wa kumlea vyema mwanae sababu muda mwingi amekuwa akijirusha na kula bata. Rapper huyo ana wasiwasi kuwa Blac Chyna anavutiwa zaidi kwenda club kuliko kumlea mtoto wao mwenye miaka 2 King Cairo, na sasa amepanga kuiomba mahakama impe ruhusa ya kuishi naye. Tyga anaamini mzazi mwenzie amepoteza focus ya […]

 

10 years ago

GPL

BLAC CHYNA AFANYIWA UPASUAJI KUFANANA NA KYLIE JENNER

Staa wa michezo ya nusu utupu, Angela Renée White ‘Blac Chyna’. New York, Marekani
STAA wa michezo ya nusu utupu, Angela Renée White ‘Blac Chyna’ amefanyiwa upasuaji wa sura na kufanana na mwanamitindo, Kylie Jenner. Blac kwa sasa yupo katika bifu na mwanamitindo huyo baada ya kuchukuliwa baba watoto wake, Michael Ray Nguyen-Stevenson ‘Tyga’. “Mwanzoni Kylie alikuwa akitaka...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Future amtumia Blac Chyna kwenye video mpya ‘Rich $ex’, aitoa kwenye birthday ya Tyga

future na Chyna

Rapper Future ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Rich $ex’, na kwenye video hiyo amemtumia Blac Chyna kama mpenzi wake.

future na Chyna

Japo kuwa Future ambaye ni ex na baby dady wa Ciara na Chyna ambaye ni ex na baby mama wa Tyga wamekuwa wakikanusha kuwa sio wapenzi, lakini video hii inalazimisha kuamini kuwa wanatoka.

Blac-Chyna-Future-tattoo

Kingnie cha kushangaza ni hiki, October 25 ambayo ni siku aliyozaliwa Ciara, ndio siku ambayo Blac Chyna alionesha tattoo ya jina la Future mkononi na kufanya watu waamini kuwa ni...

 

10 years ago

Mtanzania

Blac Chyna: Nimekusamehe Tyga ila kuwa makini

TygaBADI MCHOMOLO NA MTANDAO
LICHA ya mgogoro wa muda mrefu kati ya msanii kutoka kundi la Young Money, Michael Stevenson ‘Tyga’ na mpenzi wake wa zamani, Blac Chyna, wawili hao wamesameheana ili walee mtoto wao.
Tyga baada ya kuachana na mrembo huyo ambaye alizaa naye mtoto mmoja, aliamua kutoka na mdogo wake Kim Kardashian, Kylie Jenner, lakini msanii huyo alikuwa akimkumbuka mama mtoto wake hivyo akamtaka warudiane lakini mwana dada huyo aligoma.
Juzi mwanamitindo huyo alimsamehe mwenzake....

 

10 years ago

GPL

TYGA AHARIBU ‘BETHIDEI’ YA BLAC CHYNA

Rapa Tyga. Los Angeles, Marekani
MODO Blac Chyna wikiendi iliyopita alisherehekea ‘bethidei’ yake kwa huzuni kufuatia kutokuwepo kwa aliyekuwa mpenzi wake, msanii Tyga.Chayna ambaye amezaa mtoto mmoja na rapa huyo, alikuwa akisherehekea kutimiza miaka 27 kwa huzuni kubwa kutokana na kutokuwepo kwa mzazi mwenzake huyo. Rapa Tyga akiwa na aliyekuwa mpenzi wake Blac Chyna. Chyna ambaye amepoteza penzi la Tyga,...

 

9 years ago

Bongo5

Kylie Jenner akanusha taarifa za kuachana na Tyga

kylie-tyga-ellen

Mrembo wa familia ya Kardashians, Kylie Jenner amezungumzia kuhusu taarifa zilizosambaa wiki iliyopita kuwa amempiga chini rapper Tyga ambaye ni boyfriend wake.

kylie-tyga-ellen

Akizungumza katika kipindi cha The Ellen Show, Kylie amekanusha kuhusu uvumi huo na kusema kuwa watu walielewa vibaya lakini yeye na Tyga hawajaachana.

“Honestly, people have it all wrong, We’re not broken up. We became best friends before anything happened, so I think that that’s awesome and we’re just like, hanging out.”

Baada ya...

 

9 years ago

Bongo5

Future akanusha tetesi za kuwa na uhusiano na Blac Chyna!

Rapper wa Marekani, Future amevunja ukimya na kukanusha uvumi ulioenea kuwa ana uhusiano na ex na baby mama wa Tyga, Black Chyna. Siku chache zilizopita Chyna alichora tattoo ya jina la Future mkononi ambayo iliongeza uthibitisho wa tetesi za wawili hao kuwa kwenye uhusiano. Future ambaye ni ex na baba wa mtoto wa mwimbaji Ciara […]

 

9 years ago

Mtanzania

Kylie Jenner, Tyga kuachana kisa jina la Drake?

Kylie Jenner, TygaNEW YORK, Marekani

BAADA ya wiki kadhaa za furaha ya nyota wa muziki nchini Marekani, Tyga kumnunulia mpenzi wake, Kylie Jenner, gari aina ya Mercedes G Wagon alipofanya sherehe ya kukumbuka siku ya kuzaliwa kwake, hali imebadilika na kuwa ya huzuni.

Uhusiano wa wawili hao unaonekana kuingiwa na mdudu mbaya baada ya kutokea malumbano kati yao ambapo kwa mujibu wa mtandao wa Hollywood life, chanzo ni kwamba Tyga alimtukana mpenzi wake huyo kwa kumfananisha mambo mabaya na Drake.

Mtandao huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani