TYGA AHARIBU ‘BETHIDEI’ YA BLAC CHYNA
![](http://api.ning.com:80/files/*54juLYOTrMI5VqrSZHkg763yH*nAX9VPf*kyCI3pdLsrk2hY5oQSWNAC49-pBD3E7e7d8utUKAYpXwaFMEKJRpNWL*uyrrB/tygaflauntmagazinephotoshoot.jpg?width=650)
Rapa Tyga. Los Angeles, Marekani MODO Blac Chyna wikiendi iliyopita alisherehekea ‘bethidei’ yake kwa huzuni kufuatia kutokuwepo kwa aliyekuwa mpenzi wake, msanii Tyga.Chayna ambaye amezaa mtoto mmoja na rapa huyo, alikuwa akisherehekea kutimiza miaka 27 kwa huzuni kubwa kutokana na kutokuwepo kwa mzazi mwenzake huyo. Rapa Tyga akiwa na aliyekuwa mpenzi wake Blac Chyna. Chyna ambaye amepoteza penzi la Tyga,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania19 May
Blac Chyna: Nimekusamehe Tyga ila kuwa makini
BADI MCHOMOLO NA MTANDAO
LICHA ya mgogoro wa muda mrefu kati ya msanii kutoka kundi la Young Money, Michael Stevenson ‘Tyga’ na mpenzi wake wa zamani, Blac Chyna, wawili hao wamesameheana ili walee mtoto wao.
Tyga baada ya kuachana na mrembo huyo ambaye alizaa naye mtoto mmoja, aliamua kutoka na mdogo wake Kim Kardashian, Kylie Jenner, lakini msanii huyo alikuwa akimkumbuka mama mtoto wake hivyo akamtaka warudiane lakini mwana dada huyo aligoma.
Juzi mwanamitindo huyo alimsamehe mwenzake....
10 years ago
Bongo522 Dec
Tyga apanga kumchukua mwanae kutoka kwa Blac Chyna akidai mama yake anakula bata 24/7
9 years ago
Bongo527 Oct
Tyga kwa Future: Unaweza kumchukua Blac Chyna, nina demu mkali zaidi kwa sasa (Kylie Jenner)
9 years ago
Bongo520 Nov
Video: Future amtumia Blac Chyna kwenye video mpya ‘Rich $ex’, aitoa kwenye birthday ya Tyga
![future na Chyna](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/future-na-Chyna-300x194.png)
Rapper Future ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Rich $ex’, na kwenye video hiyo amemtumia Blac Chyna kama mpenzi wake.
Japo kuwa Future ambaye ni ex na baby dady wa Ciara na Chyna ambaye ni ex na baby mama wa Tyga wamekuwa wakikanusha kuwa sio wapenzi, lakini video hii inalazimisha kuamini kuwa wanatoka.
Kingnie cha kushangaza ni hiki, October 25 ambayo ni siku aliyozaliwa Ciara, ndio siku ambayo Blac Chyna alionesha tattoo ya jina la Future mkononi na kufanya watu waamini kuwa ni...
9 years ago
Bongo528 Oct
Future akanusha tetesi za kuwa na uhusiano na Blac Chyna!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EMVKhgUIcMvB-JRL7MjZko0tNwm3yQYb8s-a5c1Fsofa7qGbccjgrmAXJVUs12ybBggAQpgw4s2j3nZ8Obk*9bxHHx-Lulfc/blacchynaclothingline4.jpg?width=650)
BLAC CHYNA AFANYIWA UPASUAJI KUFANANA NA KYLIE JENNER
5 years ago
Showbiz Cheat Sheet05 Apr
Dream Kardashian Looks Exactly Like Blac Chyna in Mother-Daughter Instagram Post
9 years ago
Bongo512 Oct
Amber Rose na Blac Chyna wadaiwa kusitisha mpango wa kuanzisha kipindi chao cha Tv