BLAC CHYNA AFANYIWA UPASUAJI KUFANANA NA KYLIE JENNER
![](http://api.ning.com:80/files/EMVKhgUIcMvB-JRL7MjZko0tNwm3yQYb8s-a5c1Fsofa7qGbccjgrmAXJVUs12ybBggAQpgw4s2j3nZ8Obk*9bxHHx-Lulfc/blacchynaclothingline4.jpg?width=650)
Staa wa michezo ya nusu utupu, Angela Renée White ‘Blac Chyna’. New York, Marekani STAA wa michezo ya nusu utupu, Angela Renée White ‘Blac Chyna’ amefanyiwa upasuaji wa sura na kufanana na mwanamitindo, Kylie Jenner. Blac kwa sasa yupo katika bifu na mwanamitindo huyo baada ya kuchukuliwa baba watoto wake, Michael Ray Nguyen-Stevenson ‘Tyga’. “Mwanzoni Kylie alikuwa akitaka...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo527 Oct
Tyga kwa Future: Unaweza kumchukua Blac Chyna, nina demu mkali zaidi kwa sasa (Kylie Jenner)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*54juLYOTrMI5VqrSZHkg763yH*nAX9VPf*kyCI3pdLsrk2hY5oQSWNAC49-pBD3E7e7d8utUKAYpXwaFMEKJRpNWL*uyrrB/tygaflauntmagazinephotoshoot.jpg?width=650)
TYGA AHARIBU ‘BETHIDEI’ YA BLAC CHYNA
9 years ago
Bongo528 Oct
Future akanusha tetesi za kuwa na uhusiano na Blac Chyna!
10 years ago
Mtanzania19 May
Blac Chyna: Nimekusamehe Tyga ila kuwa makini
BADI MCHOMOLO NA MTANDAO
LICHA ya mgogoro wa muda mrefu kati ya msanii kutoka kundi la Young Money, Michael Stevenson ‘Tyga’ na mpenzi wake wa zamani, Blac Chyna, wawili hao wamesameheana ili walee mtoto wao.
Tyga baada ya kuachana na mrembo huyo ambaye alizaa naye mtoto mmoja, aliamua kutoka na mdogo wake Kim Kardashian, Kylie Jenner, lakini msanii huyo alikuwa akimkumbuka mama mtoto wake hivyo akamtaka warudiane lakini mwana dada huyo aligoma.
Juzi mwanamitindo huyo alimsamehe mwenzake....
5 years ago
Showbiz Cheat Sheet05 Apr
Dream Kardashian Looks Exactly Like Blac Chyna in Mother-Daughter Instagram Post
9 years ago
Bongo512 Oct
Amber Rose na Blac Chyna wadaiwa kusitisha mpango wa kuanzisha kipindi chao cha Tv
10 years ago
Bongo522 Dec
Tyga apanga kumchukua mwanae kutoka kwa Blac Chyna akidai mama yake anakula bata 24/7
9 years ago
Bongo526 Oct
Picha: Blac Chyna athibitisha kuwa na uhusiano na Future? Achora tattoo ya jina la rapper huyo mkononi