NALE: KUDANGANYA UMRI IMEKUWA FASHENI
![](http://api.ning.com:80/files/741FtnVWixasCg12y5XrvTINbG0dysiZqT9CnB6TCSMrGraTFEXwHkbkynLfW2d*-RwfExmAVDze6I9q9TA1esTm0nm8rr26/MissUdsm.jpg)
Makala: SHANI RAMADHANI KATIKA Live Chumba cha Habari cha Global Publishers, leo hii tunaye Miss Universe 2014, Nale Boniface ambaye ameweka wazi siri ya urembo na kusema kuwa kujiamini ni sifa mojawapo ya kumfanya mtu aitangaze vizuri nchi yake. Presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa akiongea na mwakilishi wa Miss Universe Tanzania 2014,… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo11 Jan
MISS UNIVERSE NALE BONIFACE
![](https://scontent-a-lga.xx.fbcdn.net/hphotos-xaf1/v/t1.0-9/p480x480/10933886_731723413592726_348913557868520863_n.jpg?oh=d6a0f5a6f31816a63662e26c8bd2fe79&oe=552A3CED)
Miss Universe Tanzania Nale she is dressed for the Chinese laundry event this afternoon... Nale's Outfit is Just On Point. Thank you @irfanrizwanali for being the best stylist/ best fashion guardian to Nale @nalecious Throughout the whole journey, and special thanks to @mariastsehai for also being a great mentor and the best director to our Beauty Queen.
11 years ago
Mwananchi13 Jul
Umri ni amri? Mmmh jamani, suala la umri lachekesha
10 years ago
Mtanzania07 Mar
Fasheni ya Chenge yatesa Baraza la Maadili
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
BARAZA la Maadili kwa mara nyingine jana limeshindwa kumhoji Loicy Appollo, ambaye ni Naibu Kamishna Upepelezi wa Kodi katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), anayedaiwa kupata mgawo wa fedha za Escrow, baada ya kutumia mbinu ya Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge ya kukimbilia mahakamani.
Appollo, ambaye anadaiwa kupata mgawo wa Sh milioni 80.8, alikataa kuhojiwa jana kwa kudai kuwa shauri hilo lilishawekewa pingamizi Mahakama Kuu.
Kigogo huyo amekuwa...
10 years ago
BBCSwahili23 Apr
Akiri kudanganya kuhusu tiba ya Saratani
10 years ago
BBCSwahili05 Aug
Ajali:Polisi taabani kwa kudanganya Kenya
10 years ago
Bongo Movies01 Feb
Fasheni:Mtoko Huu wa Lulu Wazua Mzozo!!!
Hakuna anebisha kuwa mrembo na mwigizaji wa filamu Diana Elizabeth Michael ‘Lulu’ni moja kati ya mastaa wanaokwenda na fasheni na huwa hakosei kwenye hili, yaani huyu yupo “on point”.
Lakini linapokuja swala la maadili na utamaduni wetu hapa watu ndio huwa hutofautiana juu ya mavazi wanaoyovaa dada zetu siku hizi.
Picha za mwanadada Lulu akiwa amevalia kivazi ambacho kwa kiasi kikubwa kimeacha miguu yake wazi zilisambaa kwa kasi sana mtandao hapo jana, hii ni kutokana na wengi kuzi LIKE...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Kutangaza nia ya kutaka urais sasa ni ‘fasheni’
HIVI sasa Tanzania inakabiliwa na changamoto mbalimbali za kimaendeleo, ambazo zinawagusa moja kwa moja Watanzania zaidi ya milioni 40. Baadhi ya changamoto hizo ambazo muda mrefu Watanzania wamekuwa wakizipigia kelele...
10 years ago
Vijimambo10 Jan
Alichokisema Boss wa Miss Universe kwa mwakilishi wa Tz, Nale Boniface kiko hapa
![](http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/01/TZUNI.jpg?resize=450%2C258)