Alichokisema Boss wa Miss Universe kwa mwakilishi wa Tz, Nale Boniface kiko hapa
2014 tumeshuhudia mwamko mkubwa kwa Watanzania wakitoa support ya nguvu kwa wawakilishi mbalimbali wa Tz nje ya nchi.Hii huenda ikawa dalili ya good news nyingine kuanza na Tanzania mapema mwaka 2015, story ni kwamba mwendeshaji wa shindano kubwa la urembo la Miss Universe duniani,Donald Trump amemsifu mwakilishi wa Miss Universe kutoka Tanzania, Nale Bonifaceambapo amesema mwaka huu kumekuwa na mshiriki mzuri kutoka Afrika na kutaja jina la mwakilishi huyo.“This time we have such a young...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo11 Jan
MISS UNIVERSE NALE BONIFACE

Miss Universe Tanzania Nale she is dressed for the Chinese laundry event this afternoon... Nale's Outfit is Just On Point. Thank you @irfanrizwanali for being the best stylist/ best fashion guardian to Nale @nalecious Throughout the whole journey, and special thanks to @mariastsehai for also being a great mentor and the best director to our Beauty Queen.
10 years ago
Michuzi.jpg)
MISS UNIVERSE NALE BONIFACE ATEMBELEA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALBINO) CHA SALVATION ARMY JIJINI DAR ES SALAAM
.jpg)
.jpg)
10 years ago
GPLMWAKILISHI WA MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 ATEMBELEA GLOBAL LEO
10 years ago
Bongo516 Sep
Najipanga kwenda kutafuta Modeling Agency nje, za hapa Bongo hazilipi — Miss Universe TZ 2014
9 years ago
Bongo521 Dec
Miss Universe 2015: Mc amtangaza Miss Colombia kimakosa kuwa mshindi, na baadaye kumvua taji na kumvisha mshindi halali Miss Philippines (Video/Picha)

Shindano la kumtafuta Miss Universe 2015 limefanyika Jumapili Dec.19 huko Hollywood, Marekani, ambapo Pia Alonzo Wurtzbach wa Philippines alitangazwa mshindi.
Miss Universe 2015 Pia Alonzo
Kabla ya Pia kutangazwa mshindi ilijitokeza hali ya sintofahamu, pale ambapo Mc wa tukio hilo Steve Harvey alipomtangaza kimakosa Miss Colombia kuwa ndio mshindi na kuvishwa kabisa taji.
Kwa dakika kadhaa Miss Colombia alikaa na taji hilo huku akipunga bendera ya nchi yake akionekana mwenye furaha.
Miss...
9 years ago
Mtanzania22 Dec
Pia atwaa taji la Miss Universe kwa utata

9 years ago
Bongo523 Dec
Miss Colombia atoa ya moyoni kuhusu kuporwa ushindi wa Miss Universe

Baada ya shindano la Miss Universe lililofanyika Jumapili iliyopita (Dec 20) kukumbwa na dosari ya MC kukosea kumtaja mshindi, Miss Colombia ambaye alitangazwa mshindi na dakika chache baadaye kupigwa na butwaa baada ya MC Steve Harvey kurudi na kutangaza kuwa alipewa ushindi kimakosa, hatimaye mrembo huyo ametoa ya moyoni na kumpongeza mshindi wa mwaka huu Miss Ufilipino.
Kupitia Instagram yake Miss Colombia , Ariadna Gutierrez aliandika ujumbe mrefu wa kugusa kuhusu kilichotokea,...
10 years ago
GPL
MISS COLOMBIA PAULINA VEGA ATWAA TAJI LA MISS UNIVERSE 2015, UMATI WAZOMEA
9 years ago
Global Publishers27 Dec
Miss Universe 2015 atetea wanaomponda Miss Colombia
Mshinda wa Shindano la Miss Universe 2015, Pia Alonzo Wurtzbach.
MSHINDI wa Shindano la Miss Universe 2015, Pia Alonzo Wurtzbach kwa mara ya kwanza amefungukia watu wanaomponda Miss Colombia kuwa waache mara moja.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Miss Pia aliongelea kuhusiana na mshiriki huyo wa Colombia ambaye alitaka kupewa taji kimakosa baada ya kutajwa kama mshindi kimakosa na mshereheshaji (MC), Steve Harvey katika fainali zilizofanyika hivi karibuni.
“Hii ni kwa ajili ya mashabiki...