Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajali:Polisi taabani kwa kudanganya Kenya

Wakenya wameikashifu idara ya polisi wa barabarani na kamishna mkuu kwa kujaribu kuficha ukweli kuhusu pasta 'aliyesababisha kifo na ajali' ya barabarani

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Ajali yaua 12 Iringa, 28 taabani

Abiria 12 wamefariki leo huku wengine 28 wamejeruhiwa mara baada ya basi la kampuni ya New Force kugongana na lori maeneo ya Igeme, Kilolo leo mchana.

 

10 years ago

Mtanzania

Askofu Gwajima taabani polisi

NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM

HALI ya afya ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, imebadilika ghafla baada ya kushindwa kupanda ngazi katika ofisi za Kituo Kikuu cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam jana.

Askofu Gwajima alifika kituoni hapo saa 2 asubuhi akiwa ameongozana na maaskofu zaidi ya watano.

Katika hali ya kushangaza, wakati akipanda ngazi kuelekea kwa Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, alifanikiwa kupanda mbili, lakini alipojaribu ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mashirika yasio ya kiserikali taabani Kenya

Serikali ya Kenya imefutulia mbali leseni za mashirika 510 yasio ya kiserikali ikiwemo 15 ambayo yametuhumiwa kuhusika na ugaidi.

 

11 years ago

Mwananchi

Maofisa wa JWTZ, Polisi wafa kwa ajali

Chalinze. Maofisa wawili mmoja akiwa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na mwingine wa Polisi, wamekufa baada ya gari dogo walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na gari lingine aina ya Scania katika Kijiji cha Chamakweza, Kata ya Pera wilayani Bagamoyo, Pwani. Ajali hiyo ilitokea juzi katika Barabara Kuu ya Chalinze Morogoro.

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi yafafanua idadi ya ajali, vifo kwa 2010 - 13

Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi wa takwimu za makundi ya magari au vyombo vilivyohusika katika ajali za barabarani, vifo na majeruhi kuanzia mwaka 2010 hadi 2013.

 

10 years ago

Bongo5

Update: Octopizzo azungumza kwa mara ya kwanza kuhusu kudanganya kumshirikisha August Alsina, sikiliza alichojibu (Audio)

Octopizzo anaendelea kutawala vichwa vya habari Afrika Mashariki, kitu ambacho ndio lengo lake haswa kwasababu inampa ‘kiki’ hasa wakati huu ambao ameachia video mpya. Kinachomfanya azidi kuzungumziwa ni kuhusu swala la wimbo ambao mwanzo alidai amefanya na August Alsina mpaka uongozi wa msanii huyo ulipokuja kukanusha, na ukapatikana ushahidi wa wimbo mwingine unaofanana na huo […]

 

11 years ago

Michuzi

MTU MMOJA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA KWA KUSABABISHA AJALI NA KIFO

Na Sylvester Onesmo  wa Jeshi la Polisi Dodoma.   Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Jackson s/o Venance, umri miaka 33, kabila Mhaya, mfanyakazi wa NSSF Bukoba aliyekuwa akitembea kwa miguu pembeni mwa barabara ya Nyerere maeneo ya TRA Dodoma katika Manispaa na Mkoa wa Dodoma amefariki dunia alipokuwa akitibiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma baada ya kugongwa na gari lenye namba za usajili T.399 CWG aina ya NISSAN iliyokuwa ikiendeshwa na Dotto d/o Onesmo, umri miaka 25, kabila...

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi walaumiwa kwa utepetevu Kenya

Shirika linalopigania haki za kibinadamu la Human Rights Watch limeilaumu idara ya usalama Kenya kwa kuzembea baada ya shambulizi la Al shabaab.

 

11 years ago

BBCSwahili

Polisi walaumiwa kwa mauaji Kenya

Shirika la kutetea haki za binadamu,Human Rights Watch limewalaumu polisi wa kupambana na ugaidi nchini Kenya kwa mauaji ya kiholela.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani