Maofisa wa JWTZ, Polisi wafa kwa ajali
Chalinze. Maofisa wawili mmoja akiwa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na mwingine wa Polisi, wamekufa baada ya gari dogo walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na gari lingine aina ya Scania katika Kijiji cha Chamakweza, Kata ya Pera wilayani Bagamoyo, Pwani. Ajali hiyo ilitokea juzi katika Barabara Kuu ya Chalinze Morogoro.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper16 Jun
Maofisa wa JWTZ, Polisi wafa ajalini
Na Mwamvua Mwinyi, Bagamoyo
OFISA WA Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Meja Edward Mosi na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Johnson Zakaria, wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea kijiji cha Chamakweza mkoani Pwani.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Ulrich Matei alisema jana kuwa ajali hiyo ilitokea saa 7.15, mchana.
Alisema ajali hiyo ilihusisha gari lenye namba za usajili T. 164 AUS na T. 498 AZ aina ya Scania.
Matei alisema gari hilo lilikuwa likiendeshwa na Hassan Shabani mkazi wa...
9 years ago
Habarileo03 Oct
Wanajeshi 7 wafa kwa ajali
VIJANA Saba wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), kikosi cha 821 Bulombora wilayani Uvinza mkoani Kigoma, wamefariki dunia na wengine 22 wamejeruhiwa wengi wao vibaya baada ya gari walilokuwa wakiafiria kupinduka.
11 years ago
Habarileo15 Jun
Madereva wa bodaboda watatu wafa kwa ajali
MADEREVA watatu wa bodaboda wamekufa katika matukio matatu tofauti yaliyohusisha ajali za barabarani.
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
JK awapandisha vyeo maofisa wa JWTZ
RAIS Jakaya Kikwete amewapandisha cheo maofisa wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutoka Kanali na kuwa Brigedia Jenerali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya...
10 years ago
Tanzania Daima13 Aug
Watatu JWTZ wafa ajalini Kongo
WANAJESHI watatu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wanaolinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) chini ya Umoja wa Mataifa, wanadaiwa kufariki dunia baada ya gari walilokuwa...
10 years ago
MichuziMAOFISA WA JWTZ WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR
10 years ago
Mwananchi19 Oct
JK atunuku maofisa 23 JWTZ, Wakongo 414 wahitimu TMA
10 years ago
GPLMAOFISA WA JWTZ WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR
11 years ago
MichuziTCRA YATOA SEMINA KWA MAOFISA WA POLISI MKOA WA KILIMANJARO