Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanajeshi 7 wafa kwa ajali

VIJANA Saba wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), kikosi cha 821 Bulombora wilayani Uvinza mkoani Kigoma, wamefariki dunia na wengine 22 wamejeruhiwa wengi wao vibaya baada ya gari walilokuwa wakiafiria kupinduka.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Maofisa wa JWTZ, Polisi wafa kwa ajali

Chalinze. Maofisa wawili mmoja akiwa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na mwingine wa Polisi, wamekufa baada ya gari dogo walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na gari lingine aina ya Scania katika Kijiji cha Chamakweza, Kata ya Pera wilayani Bagamoyo, Pwani. Ajali hiyo ilitokea juzi katika Barabara Kuu ya Chalinze Morogoro.

 

11 years ago

Habarileo

Madereva wa bodaboda watatu wafa kwa ajali

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius WamburaMADEREVA watatu wa bodaboda wamekufa katika matukio matatu tofauti yaliyohusisha ajali za barabarani.

 

9 years ago

Habarileo

12 wafa katika ajali

ABIRIA 12 wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa, wengine vibaya, baada ya basi walilopanda, mali ya kampuni ya New Force lililokuwa likitokea Dar es Salaam kulekea Tunduma Mbeya kugongana na roli lililokuwa likitokea Mafinga mkoani Iringa likielekea Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

Watu 20 wafa ajali ya Hiace

WATU 21 wamekufa na 10 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi dogo la abiria aina ya Hiace na lori. Ajali hiyo ilitokea juzi katika kijiji cha Mkupuka kata ya Kibiti wilayani Rufiji mkoani Pwani.

 

10 years ago

Vijimambo

ABIRIA 42 KATI YA 67 WAFA AJALI YA IRINGA

Miongoni mwa manusura 22 wa ajali ya basi la Majinja lenye namba za usajili T438 CED wakiwa wamelazwa katika hospitali ya Mkoa Iringa kwa matibabu. Abiria 42 walipoteza maisha katika ajali hiyo.Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Barabarani mkoa wa Iringa, Salim Asas Abri (kulia) akiwa na viongozi wengine wakiwajulia hali manusura wa ajali hiyo.Kontena lilokuwa limepajkiwa katika lori la mizigo Scania namba T 689 APJ, mali ya Cipex Company likiwa limelalia juu ya basi lenye namba za...

 

10 years ago

Dewji Blog

135 wafa katika ajali Singida

DSC01646

Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka ,akitoa taarifa ya utendaji kazi mkoani Singida kwa kipindi cha kuanzia Januari hadi Septemba mwaka huu.

DSC01655

DSC01658

Baadhi ya waandishi wa habari na askari polisi waliohudhuria hafla ya kamanda wa polisi mkoa wa Singida kwa ajili ya kutoa taarifa ya utendaji kazi kwa kipindi cha miezi tisa.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

JUMLA ya ajali 89 za barabarani, zimetokea mkoani hapa na kusababisha vifo vya watu 135...

 

11 years ago

Habarileo

Wawili wafa, 40 wajeruhiwa ajali ya basi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Geofrey KamwelaWATU wawili akiwemo mtoto wa miezi sita wamekufa na wengine 40 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani, iliyolihusisha basi la Zuberi katika eneo la Tumaini Nkuhi kwenye barabara kuu ya Singida - Dodoma.

 

9 years ago

Habarileo

Watoto wafa katika ajali ya basi

WATOTO wawili wamekufa papo hapo na watu wengine 53 wamejeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wanasafiria kuacha njia na kupinduka kijiji cha Pida, wilaya ya Butiama mkoani Mara.

 

10 years ago

Habarileo

Sita wafa katika ajali, 45 wajeruhiwa Singida

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Thobias SedoyekaWATU sita wamekufa na wengine 45 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti za barabarani zilizotokea juzi na jana mkoani Singida.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani