ABIRIA 42 KATI YA 67 WAFA AJALI YA IRINGA
Miongoni mwa manusura 22 wa ajali ya basi la Majinja lenye namba za usajili T438 CED wakiwa wamelazwa katika hospitali ya Mkoa Iringa kwa matibabu. Abiria 42 walipoteza maisha katika ajali hiyo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Barabarani mkoa wa Iringa, Salim Asas Abri (kulia) akiwa na viongozi wengine wakiwajulia hali manusura wa ajali hiyo.
Kontena lilokuwa limepajkiwa katika lori la mizigo Scania namba T 689 APJ, mali ya Cipex Company likiwa limelalia juu ya basi lenye namba za...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori Iringa December 18… #RIP (Picha)
Kwenye taarifa ambazo zimenifikia muda mfupi uliopita iko pia inayohusu ajali iliyotokea leo December 18 2015 maeneo ya Kilolo Iringa… Kwenye ajali hiyo Jeshi la Polisi limethibitisha kuwa watu 12 wamefariki na wengine 18 kujeruhiwa, mazingira ya ajali yanaonesha lori la mizigo lilipoteza mwelekeo na kuligonga basi hilo. Basi hilo la Kampuni ya New Force lilikuwa […]
The post Kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori Iringa December 18… #RIP (Picha) appeared first on...
10 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: WATU ZAIDI YA 30 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA MAFINGA, IRINGA, LEO BAADA YA BASI LA ABIRIA KUANGUKIWA NA KONTENA


11 years ago
Mwananchi06 Jan
Abiria 10 wafa, wengine watafutwa
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
Waendesha pikipiki, abiria wafa ajalini
WATU watatu wamefariki dunia jijini Dar es Salaam juzi kwenye matukio tofauti, likiwemo la dereva wa pikipiki, Ramadhani Bakari (22), mkazi wa Yombo kumgonga mtembea kwa miguu. Kamanda wa Polisi...
10 years ago
GPL
WANNE WAFA AJALINI IRINGA
9 years ago
Habarileo19 Dec
12 wafa katika ajali
ABIRIA 12 wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa, wengine vibaya, baada ya basi walilopanda, mali ya kampuni ya New Force lililokuwa likitokea Dar es Salaam kulekea Tunduma Mbeya kugongana na roli lililokuwa likitokea Mafinga mkoani Iringa likielekea Dar es Salaam.
11 years ago
Habarileo31 Mar
Watu 20 wafa ajali ya Hiace
WATU 21 wamekufa na 10 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi dogo la abiria aina ya Hiace na lori. Ajali hiyo ilitokea juzi katika kijiji cha Mkupuka kata ya Kibiti wilayani Rufiji mkoani Pwani.
10 years ago
Habarileo03 Oct
Wanajeshi 7 wafa kwa ajali
VIJANA Saba wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), kikosi cha 821 Bulombora wilayani Uvinza mkoani Kigoma, wamefariki dunia na wengine 22 wamejeruhiwa wengi wao vibaya baada ya gari walilokuwa wakiafiria kupinduka.
11 years ago
Dewji Blog01 Nov
135 wafa katika ajali Singida
Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka ,akitoa taarifa ya utendaji kazi mkoani Singida kwa kipindi cha kuanzia Januari hadi Septemba mwaka huu.
Baadhi ya waandishi wa habari na askari polisi waliohudhuria hafla ya kamanda wa polisi mkoa wa Singida kwa ajili ya kutoa taarifa ya utendaji kazi kwa kipindi cha miezi tisa.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
JUMLA ya ajali 89 za barabarani, zimetokea mkoani hapa na kusababisha vifo vya watu 135...