Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madereva wa bodaboda watatu wafa kwa ajali

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius WamburaMADEREVA watatu wa bodaboda wamekufa katika matukio matatu tofauti yaliyohusisha ajali za barabarani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Madereva bodaboda wafa ajalini

MWENDESHA pikipiki (bodaboda), Moshi Ramadhani (27) amekufa papo hapo huku abiria aliyekuwa amembeba ambaye ni Ofisa Utamaduni wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, amesagika mguu na kuvunjika mkono, baada ya kugongwa na basi.

 

10 years ago

Michuzi

shangingi lapigwa kiberiti baada ya kugonga na kuuwa madereva watatu wa bodaboda jijini Dar es salaam leo

Gari aina ya Toyota VX likiwaka moto baada ya kuchomwa na wananchi mchana leo huko Bunju B jijini Dar kwa kusababisha ajali na kuuwa madereva watatu wa bodaboda. Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya gari aina ya Toyota VX imeua madereva watatu wa bodaboda mchana leo. Picha na GPL

 

11 years ago

Dewji Blog

Ajali yaua askari Magereza mkoa wa Singida, wengine watatu wafa kwenye matukio tofauti

RAMA

Askari Magereza Ramadhan Mussa (54) enzi za uhai wake.

Na Hillary Shoo, SINGIDA.

WATU wanne wamefariki dunia Mkoani Singida katika matukio tofauti likiwemo la askari magereza mmoja wa Mkoa wa Singida kufa baada ya kupata ajali mbaya ya gari lake dogo kugongana uso kwa uso na lori usiku.

Kamanda wa polisi Mkoani hapa Geofrey Kamwela alisema  askari magereza wa huyo ametambuliwa kuwa ni Staff Sagenti Ramadhan Mussa (54) alikufa papo hapo baada ya gari lake alilokuwa akiendesha kuacha njia na...

 

11 years ago

Habarileo

Madereva bodaboda wadaiwa kubaka kwa zamu

WAENDESHA bodaboda wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, kwa tuhuma ya kumbaka msichana kwa zamu na kisha kumwekea mchanga katika sehemu zake za siri.

 

10 years ago

Habarileo

Wanajeshi 7 wafa kwa ajali

VIJANA Saba wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), kikosi cha 821 Bulombora wilayani Uvinza mkoani Kigoma, wamefariki dunia na wengine 22 wamejeruhiwa wengi wao vibaya baada ya gari walilokuwa wakiafiria kupinduka.

 

11 years ago

Mwananchi

Maofisa wa JWTZ, Polisi wafa kwa ajali

Chalinze. Maofisa wawili mmoja akiwa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na mwingine wa Polisi, wamekufa baada ya gari dogo walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na gari lingine aina ya Scania katika Kijiji cha Chamakweza, Kata ya Pera wilayani Bagamoyo, Pwani. Ajali hiyo ilitokea juzi katika Barabara Kuu ya Chalinze Morogoro.

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AITAKA SERIKALI KURAHISISHA UTOAJI WA LESENI KWA WAFANYABIASHARA,MADEREVA WA MAGARI NA BODABODA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizindua rasmi Chanjo ya  watoto kuzuia maambukizi ya magonjwa katika kata ya Nyakisasa kijiji cha Kashinga akiwa katika ziara yake ya kikazi wilayani Ngara mkoani Kagera,lengo la ziara hiyo likiwani ni kukagua utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2010 na kuhimiza uhai wa chama, Katika ziara hiyo Kinana anaongozana na ktibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na viongozi mbalimbali wa CCM  kutoka mkoa wa Kagera. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

 

11 years ago

Michuzi

WATU WATANO (5) MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA MADEREVA WAWILI WA BODABODA MKOANI DODOMA

Na: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu watano (5) kwa kuhusika na mauaji ya madereva wawili wa bodaboda kwa nyakati tofauti.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema watuhumiwa watatu ambao ni ALEX S/O LETEMA LEWENJE mweye umri wa miaka 20, Mkaguru, ANDREA S/O MAJUTO CHIGUNDULA mwenye umri wa miaka 24, Mkaguru na NABAKI S/O MAUNGO MWIGOE mwnye umri wa miaka 23, Mkaguru wote...

 

10 years ago

Dewji Blog

PSPF watoa zawadi kwa washindi wa ligi ya madereva wa Bodaboda wa Kipunguni jijini Dar

 Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Ismail Juma(kushoto) akikabidhi jezi kwa kapteni wa timu ya G Unity Fc kwa ajili ya mchezo wa fainali uliofanyika katika kiwanja cha Kipunguni B katika kata ya Kipunguni manispaa ya Ilala jijini Dar. Ambapo timu ya G Unity FC waliibuka washindi baada ya kuichapa timu ya Sukuma Land Fc bao 5 kwa 2.   Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Ismail Juma(kushoto) akikabidhi jezi kwa kapteni wa timu ya Sukuma Land FC wakati wa mchezo wa fainali wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani