JK awapandisha vyeo maofisa wa JWTZ
RAIS Jakaya Kikwete amewapandisha cheo maofisa wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutoka Kanali na kuwa Brigedia Jenerali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Rais Kikwete awapandisha vyeo makanali
Rais Jakaya Kikwete ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, amewapandisha vyeo maofisa 28 kutoka Kanali na kuwa Brigedia.
10 years ago
Uhuru Newspaper17 Sep
JK awapandisha saba JWTZ
NA MWANDISHI WETU
AMIRI Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete amewapandisha vyeo Maofisa saba wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kutoka cheo cha Brigedia hadi kuwa Meja Jenerali.
Hatua hiyo aliitekeleza kwa mujibu wa kanuni za majeshi ya ulinzi ya Tanzania ambazo zinatambulika kisheria.
Maofisa waliopandishwa vyeo ni Brigedia Jenerali Gaudence Milanzi, Brigedia Jenerali James Mwakibolwa, Brigedia Jenerali Ndetaulwa Zakayo na Brigedia Jenerali Venance Mabeyo.
Wengine ni Brigedia Jenerali Simon...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-aqzzfdbp_RY/Xtez23srkLI/AAAAAAALshs/UTETNYaINM4RmycXUY-wbEASN3GZOnUrQCLcBGAsYHQ/s72-c/EDdEGvdWwAEj_j9-660x400.jpg)
RAIS DKT MAGUFULI AWAPANDISHA VYEO MAAFISA WAKUU KUWA BRIGEDIA JENERALI NA WENGINE MEJA JENARALI
![](https://1.bp.blogspot.com/-aqzzfdbp_RY/Xtez23srkLI/AAAAAAALshs/UTETNYaINM4RmycXUY-wbEASN3GZOnUrQCLcBGAsYHQ/s640/EDdEGvdWwAEj_j9-660x400.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Joseph Pombe Magufuli amewapandisha vyeo Maafisa Wakuu kuwa Brigedia Jenerali na wengine kuwa Meja Jenerali kuanzia tarehe 02 Juni, 2020.
Miongoni mwa waliopandishwa cheo kuwa Brigedia Jenerali ni pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Kanali (Balozi) Wilbert Augustin Ibuge na Kamishna wa Kazi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Kanali Francis Ronald...
11 years ago
Uhuru Newspaper16 Jun
Maofisa wa JWTZ, Polisi wafa ajalini
Na Mwamvua Mwinyi, Bagamoyo
OFISA WA Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Meja Edward Mosi na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Johnson Zakaria, wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea kijiji cha Chamakweza mkoani Pwani.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Ulrich Matei alisema jana kuwa ajali hiyo ilitokea saa 7.15, mchana.
Alisema ajali hiyo ilihusisha gari lenye namba za usajili T. 164 AUS na T. 498 AZ aina ya Scania.
Matei alisema gari hilo lilikuwa likiendeshwa na Hassan Shabani mkazi wa...
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Maofisa wa JWTZ, Polisi wafa kwa ajali
Chalinze. Maofisa wawili mmoja akiwa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na mwingine wa Polisi, wamekufa baada ya gari dogo walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na gari lingine aina ya Scania katika Kijiji cha Chamakweza, Kata ya Pera wilayani Bagamoyo, Pwani. Ajali hiyo ilitokea juzi katika Barabara Kuu ya Chalinze Morogoro.
10 years ago
MichuziMAOFISA WA JWTZ WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR
10 years ago
Mwananchi19 Oct
JK atunuku maofisa 23 JWTZ, Wakongo 414 wahitimu TMA
Rais Jakaya Kikwete jana amewatunukia cheo cha Luteni Usu, Maofisa 23 wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), huku wenzao 414 wa Jamuhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC), waliohitimu nao mafunzo hayo wakisubiri kutunukiwa vyeo vyao watakaporejea nchini mwao.
10 years ago
GPLMAOFISA WA JWTZ WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR
 Meneja Uhusiano wa TBL,Edith Mushi akisalimiana na Mkufunzi wa Kozi ya Eme, Kapteni Erasto Kalinga.
 Maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), walio kwenye mafunzo wakitembelea Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam.…
9 years ago
MichuziJWTZ YAKANUSHA KUWANYANG'ANYA KADI ZA KUPIGIA KURA MAOFISA NA ASKARI WAKE
Na...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania