Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maofisa wa JWTZ, Polisi wafa ajalini


Na Mwamvua Mwinyi, Bagamoyo
OFISA WA Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Meja Edward Mosi na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Johnson Zakaria, wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea kijiji cha Chamakweza mkoani Pwani.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Ulrich Matei alisema jana kuwa ajali hiyo ilitokea saa 7.15, mchana.
Alisema ajali hiyo ilihusisha gari lenye namba za usajili T. 164 AUS na T. 498 AZ aina ya Scania.
Matei alisema gari hilo lilikuwa likiendeshwa na Hassan Shabani mkazi wa...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Maofisa wa JWTZ, Polisi wafa kwa ajali

Chalinze. Maofisa wawili mmoja akiwa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na mwingine wa Polisi, wamekufa baada ya gari dogo walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na gari lingine aina ya Scania katika Kijiji cha Chamakweza, Kata ya Pera wilayani Bagamoyo, Pwani. Ajali hiyo ilitokea juzi katika Barabara Kuu ya Chalinze Morogoro.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watatu JWTZ wafa ajalini Kongo

WANAJESHI watatu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wanaolinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) chini ya Umoja wa Mataifa, wanadaiwa kufariki dunia baada ya gari walilokuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi 5 wafa ajalini Dodoma

JESHI la Polisi mkoani Dodoma limepata pigo baada ya askari wake watano kufa kwenye ajali ya gari eneo la Mitumba, nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma. Akizungumzia ajali hiyo iliyotokea...

 

11 years ago

Mwananchi

Watu 11 wafa ajalini

Watu 10 wamekufa papo hapo na mwingine kupoteza maisha alipokuwa akipelekwa hospitali baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupata ajali mkoani Simiyu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watatu wafa ajalini Same

WATU watatu wamekufa papo hapo katika matukio mawili tofauti ya ajali ya gari wilayani Same Kilimanjaro likiwemo la mwendesha pikipiki anayekadiriwa kuwa na miaka 20-25 kugongwa na gari la mizigo....

 

10 years ago

GPL

WANNE WAFA AJALINI IRINGA

Zaidi ya watu 4 wamefariki na wengine kujeruhiwa baada ya basi la abiria kutoka Mbeya kwenda Dodoma kugongana na Lori katika kijiji cha Ibetelo eneo la Nyororo wilayani Mufindi mkoani Iringa. Kamanda wa Polisi Mkoani Iringa Ramadhani Mungi amesema kuwa ajali hiyo imetokea majira ya saa 4.45 asubuhi na kuhusisha basi mali ya kampuni ya Fanuel Express  yenye namba za usajili T919 kugongana uso kwa uso na lori lenye namba za...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waendesha bodaboda wafa ajalini

WAENDESHA pikipiki wawili wamefariki dunia jijini Dar es Salaam juzi katika ajali tofauti. Akielezea ajali hizo jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, alisema dereva wa pikipiki ‘bodaboda’,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watatu wafa ajalini Dar

WATU watatu wameripotiwa kufariki dunia katika matukio tofauti, akiwamo mwanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Pius Msekwa, Salumu Omar (6) aliyegongwa na gari. Kamanda wa Polisi Mkoa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wawili wafa ajalini Dar

WATU wawili wameripotiwa kufariki dunia juzi jijini Dar es Salaam katika matukio tofauti. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alisema kuwa juzi saa 4 asubuhi, katika Barabara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani