Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete awapandisha vyeo makanali

Rais Jakaya Kikwete ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, amewapandisha vyeo maofisa 28 kutoka Kanali na kuwa Brigedia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AWAPANDISHA VYEO MAAFISA WAKUU KUWA BRIGEDIA JENERALI NA WENGINE MEJA JENARALI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Joseph Pombe Magufuli amewapandisha vyeo Maafisa Wakuu kuwa Brigedia Jenerali na wengine kuwa Meja Jenerali kuanzia tarehe 02 Juni, 2020.


       Miongoni mwa waliopandishwa cheo kuwa Brigedia Jenerali ni pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Kanali (Balozi) Wilbert Augustin Ibuge na Kamishna wa Kazi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Kanali Francis Ronald...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK awapandisha vyeo maofisa wa JWTZ

RAIS  Jakaya Kikwete amewapandisha cheo maofisa wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutoka Kanali  na kuwa Brigedia Jenerali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWAVUA VYEO MAWAZIRI WANNE

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi . Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha.…

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AWAVISHA VYEO VYA MRAKIBU MSAIDIZI WAHITIMU 104 WA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR ES SALAAM

Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini (CGP), John Minja akimkarisha Rais Jakaya Kikwete (kushoto) katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kufunga mafunzo ya uofisa wa Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo. Maafisa 104 wa kozi hiyo walihitimu mafunzo hayo na kuvishwa vyeo hivyo. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias ChikaweWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia), akimkarisha Rais Jakaya Kikwete kuketi baada ya kukagua...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE MGENI RASMI SIKU YA MAGEREZA, AWAVISHA VYEO VYA MRAKIBU MSAIDIZI WAHITIMU 104 WA JESHI LA MAGEREZA JIJINI DAR ES SALAAM

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa  na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini CGP John Casmir Minja  katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam Jumamosi, kuhudhuria Siku ya MAgereza na  kufunga mafunzo ya uofisa wa Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo. Maafisa 104 wa kozi hiyo walihitimu mafunzo hayo na kuvishwa vyeo hivyo. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe. Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride liloandaliwa kwa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

JK awapandisha saba JWTZ


NA MWANDISHI WETU
AMIRI Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete amewapandisha vyeo Maofisa saba  wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kutoka cheo cha Brigedia hadi kuwa Meja Jenerali.
Hatua hiyo aliitekeleza kwa mujibu wa kanuni za majeshi ya ulinzi ya Tanzania ambazo zinatambulika kisheria.
Maofisa waliopandishwa vyeo ni Brigedia Jenerali Gaudence Milanzi, Brigedia Jenerali James Mwakibolwa, Brigedia Jenerali Ndetaulwa Zakayo na Brigedia Jenerali Venance Mabeyo.
Wengine ni Brigedia Jenerali Simon...

 

10 years ago

Vijimambo

Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA


RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.

Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS JACOB ZUMA AKUTANA NA RAIS KIKWETE IKULU-MAKAMU WA RAIS AMSINDIKIZA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini leo ikulu jijini Dar es Salaam

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azungumza na Rais Zuma na Rais Kabila Zimbabwe

  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini pamoja na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC) wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe kwa ajili ya viongozi wa SADC wanaohudhuria mkutano wa 34 wa wakuu wa nchi za SADC unaofanyika katika mji wa Victoria Falls nchini Zimbabwe(picha na Freddy Maro)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani