Akiri kudanganya kuhusu tiba ya Saratani
Mwanablogu ambaye alipata sifa baada ya kudai kwamba alimiliki dawa za kuponya ugonjwa wa saratani ya ubongo kupitia tiba ya kiasili amekiri kwamba alidanganya kuhusu ugonjwa wake.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q2ye0vJp*I4tX18bQBsChUhARDWjCqg-UI4znpGJnC4zDDbqimj0MqJfb4V*RVAP0a*rhGdrVA2DQGrbUpjyXes/breastcancerillustrations.jpg?width=650)
TIBA YA SARATANI YA MATITI - 5
Tunaendelea kuwaletea tiba ya saratani ya matiti baada ya kuelezea ile ya upasuaji. Endelea. KEMIKALI MAALUM
Ugonjwa wa saratani ya matiti pia hutibiwa kwa njia ya dawa au Systemic theraphy. Tiba ya aina hii inahusisha matumizi ya kemikali maalum za kutibu saratani au Chemotherapy pamoja na kutumia homoni au Hormonal therapy. Tiba kwa kutumia homoni, hufanywa ili kuua seli za saratani ambazo hazikugundulika hapo awali na ambazo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzTY94yzCcI0YEtgzzWn*zx--o1MPswimx17Fag4fwCs4N-lpVrfU1jkNT088pQ4j16Hw*8CCcaGznDmq8kKjC0VFMFdCz0o/cancer3.jpg?width=650)
TIBA YA SARATANI YA MATITI - 4
Tunaendelea kujadili ugonjwa wa kansa au saratani ya matiti, ambapo leo tutaanza kuzungumzia tiba ya ugonjwa huo. Kuna aina tofauti za tiba kwa wagonjwa wanaousumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya matiti. Baadhi ya tiba hizo tayari zinatumika rasmi na nyingine zinafanyiwa majaribio. Matibabu ya majaribio au Treatment clinical trials ni uchunguzi wa kitiba unaofanyika kwa lengo la kusaidia kuboresha tiba zilizoko au kwa ajili ya kupata...
9 years ago
Bongo502 Sep
Update: Octopizzo azungumza kwa mara ya kwanza kuhusu kudanganya kumshirikisha August Alsina, sikiliza alichojibu (Audio)
Octopizzo anaendelea kutawala vichwa vya habari Afrika Mashariki, kitu ambacho ndio lengo lake haswa kwasababu inampa ‘kiki’ hasa wakati huu ambao ameachia video mpya. Kinachomfanya azidi kuzungumziwa ni kuhusu swala la wimbo ambao mwanzo alidai amefanya na August Alsina mpaka uongozi wa msanii huyo ulipokuja kukanusha, na ukapatikana ushahidi wa wimbo mwingine unaofanana na huo […]
10 years ago
BBCSwahili30 Oct
Je,kufanya mapenzi ni tiba ya saratani?
Kulala na wanawake wengi kunapunguza hatari ya kupatikana na ugonjwa wa saratani ya kibofu cha mkojo,kulingana na utafiti.
10 years ago
Mwananchi05 Jun
Fahamu tiba ya mionzi kwa maradhi ya saratani (4)
Kama nilivyoeleza wiki iliyopita kuwa tiba ya mionzi nje ya mwili hutolewa kwa uangalifu mkubwa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha athari za mionzi kwa mgonjwa ziwe za kiwango cha chini iwezekanavyo.
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Tiba ya saratani kutolewa kwa njia ya mtandao
Wagonjwa wa saratani wa mikoani wanatarajiwa kupata matibabu ya kwa njia ya mtandao baada ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kuzindua huduma ya afya ya mtandao.
10 years ago
Michuzi09 Sep
RUGEMALIRA KUJENGA KITUO KIKUBWA CHA TIBA YA SARATANI YA MATITI BUKOBA
11 years ago
Michuzi02 Jun
DKT. BILAL AZINDUA KITUO CHA TIBA, UCHUNGUZI NA MAFUNZO YA MAGONJWA YA SARATANI, MATUMBO NA INI UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI CHAFUNGULIWA MUHIMBILI
Kituo cha uchunguzi na mafunzo ya magonjwa ya saratani, matumbo na ini Ukanda wa Afrika Mashariki kimefunguliwa rasmi mwishoni mwa juma. Sherehe hizo zilifanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili mwishoni mwa juma ambapo Mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal. Fuatilia katika picha matukio wakati wa ufunguzi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akipongezana na Profesa Meinrad Classen wa...
11 years ago
BBCSwahili04 Feb
WHO yaonya kuhusu wimbi la saratani
Shirika la Afya Duniani WHO limeonya kuhusu kuongezeka kwa visa vya maambukizi ya maradhi ya saratani kote duniani
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania